Wat Would You Do?


Mkuu kama King solomon vile hayo mahekima
 
Angekuwa demu angeniPM nimshauri... Lakini jiumeeh., sinaga wateja wa hivyo. Sorry for break yo heart ni99a-! Sijapenda wewe kuwa mtu wa kupost vitu vya aina moja, ... Luks lyk ulimbukeni broda!

Halafu huyu kijana anaonesha kama baradhuli hivi!!!
 
Halafu hii english yenu mbovu nyie vijana munaipata wapi? Andika kitu kieleweke. Sio kukatakata maneno. Pumbafff.

kwel kabisa. Sijapendezwa na abbreviations zake. Hii pia inakuwa vigumu kwa wazee wenye uzoefu kumpa ushauri sio kwamba hawawezi kumpa ushauri, ila ni ya kwamba watashindwa kuelewa hivi viabbreviations. Ila kwa mimi nimeelewa. Hivyo naweza kukushauri hivi. You know you love someone when you want them to be happy. Even if it means you aren't part of their happiness. even if you aren't happy yourself. Thats true love.
 

Its only 2 month so why dont u wait?if she waz meant 4 u she wil b urs,so jus wait dont rush.its only a matter of tyme.

tafuta ustaarab mwngne! Hakn k2 kbya km kulazmsha penz ndg yng! Kubaliana na jb allokupa, tayar anae ampendae, kukuita swt, lv, hny ni k2 cha kawaida!

hey, the answer aliokupa tc simz anakupenda ila yuko confused btn u na the existn guy. so unachotakiwa kufanya endelea wit ya frendship............! one day yeeeeees.

but i feel lyk ma hert belongs 2 ha,i just cant stop thnkn of ha

so y dnt u post sum n shea wit us? Brah,ts nat necesary 2comment

Kwa kweli hawa vijana watatumaliza sisi wazee...Hivi ndo mnavyojibu mitihani huko sekondari, na vyuoni..

mkuu kweli watakosa ushauri wa maana..maani hivi-VIINGEREZA si mchezo, kama mko serious na issue zenu, pia muandike kwa busara.. hili jamvi lina watu wa kila aina

1. Man,
I know you are a new generation kinda, but iam afraid this type of jargon you have used may deter some wise men from advising you, unless if you limit the type of people to respond to your problem!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…