Wataaalam wa siasa mnielimishe: Pamoja na wapinzani kufanyiwa maovu kwanini bado wanaendelea?

Chama chochote kilichokosa uhalali wa kuongoza hakiamini katika ushindani wa kisera na sanduku la kura,unapokosa uhalali wa kuongoza kinacho chukua fursa au kushika hatamu ni mabavu na mabavu ndiyo msingi mkuu wa chama dola.

Kuwapiga wapinzani ni kudhoofisha nguvu kani ya wapinzani katika misingi ya kuwakatisha tamaa. Msingi mkuu wa chama chochote cha siasa au madhumuni ni kuunda serikali kwa maana ya kuongoza dola kinacho wafanya wapinzani kutokata tamaa ni commitment lakini ikumbukwe siasa ni kazi kama zilivyo kazi nyingine na ndiyo maana watu wanasomea siasa.

Tukisema leo hii wapinzani wakate tamaa kutokana na kunyanyaswa nchi itakuwaje, ndiyo ukisikia vanguard party inajengwa kwa misingi hii,wenyewe sauti wachache wanameza sauti walio wengi,na hili limeanza kushika kasi
 
Upinzani sio Viongozi ni spirit. Spirit haifi, inaishi vizazi na vizazi. Kule Afrika Kusini akina Hani waliuawa lakini upinzani dhidi ya makaburu uliendelea.
 
Wewe unaongelea Leo watu wanaongelea kesho. Huyo Magufuli alishinda uchaguzi gani?. Unazima internet nchi nzima kisa uibe kura?. Mwishowe ilibidi warudi CHADEMA kuiba wabunge Ili wapate misaada.
Wana upumbavu wa asili uliopo kwenye damu zao hadi kamasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…