Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Duuh, hapo omba MUNGU tu akuepushe na kila tatizo lililoelekezwa kwako, huenda kifungo ulichoota ni katika ulimwengu wa roho, labda kama huwa ukiota ndoto na inatokea kweli katika uhalisia, ila hautafungwa, hiyo ni tahadhari, OMBA MUNGU.Habari za wakati huu,
mimi ni mtu mzima,
leo kwa mara ya kwanza kabisa nimeota nimefungwa jela miaka 30
kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi[emoji848]
huyo mwanafunzi mwenyewe hata simkumbuki vizuri alikuwa nani ktk ndoto hiyo
nini maana yake[emoji848][emoji848]
[emoji120]Duuh, hapo omba MUNGU tu akuepushe na kila tatizo lililoelekezwa kwako, huenda kifungo ulichoota ni katika ulimwengu wa roho, labda kama huwa ukiota ndoto na inatokea kweli katika uhalisia, ila hautafungwa, hiyo ni tahadhari, OMBA MUNGU.
[emoji3] uko serious au jokeHiyo ndoto inakwambia uongeze mke wa 2 mtoto mdogo inaonesha mke uluyenaye hana kizazi tena na wewe unataka watoto zaidi lakini unamuogopa mke wako!
as serious as a heart attack[emoji3] uko serious au joke
sijakuelewa vizuriNdoto huwa ni kinyume cha yale uliyoota