Wataalam mnisaidie maana ya ndoto hii

Wataalam mnisaidie maana ya ndoto hii

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
1,770
Reaction score
2,841
Habari za wakati huu,

mimi ni mtu mzima,
leo kwa mara ya kwanza kabisa nimeota nimefungwa jela miaka 30
kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi[emoji848]

huyo mwanafunzi mwenyewe hata simkumbuki vizuri alikuwa nani ktk ndoto hiyo

nini maana yake[emoji848][emoji848]
 
Duuh, hapo omba MUNGU tu akuepushe na kila tatizo lililoelekezwa kwako, huenda kifungo ulichoota ni katika ulimwengu wa roho, labda kama huwa ukiota ndoto na inatokea kweli katika uhalisia, ila hautafungwa, hiyo ni tahadhari, OMBA MUNGU.
 
[emoji120]
 
Hiyo ndoto inakwambia uongeze mke wa 2 mtoto mdogo inaonesha mke uluyenaye hana kizazi tena na wewe unataka watoto zaidi lakini unamuogopa mke wako!
 
Back
Top Bottom