Wataalam naomba kujua hili

Wataalam naomba kujua hili

mj909

Member
Joined
Aug 1, 2024
Posts
86
Reaction score
204
Hivi kipimo cha ultrasound kinaweza kusema incomplete abortion nakikawa kimedanganya?
Kwamba mimba imetoka ila ikawa bado ipo?
 
Hivi kipimo cha ultrasound kinaweza kusema incomplete abortion nakikawa kimedanganya?
Kwamba mimba imetoka ila ikawa bado ipo?
Hapana, hakidanganyi.

Mimba inapoharibika si lazima itoke yote kwa wakati mmoja (complete abortion) bali kuna nyingine hutoka kidogo kidogo na kuna vipisi (tissues) vidogo hubaki ( incomplete abortion) hivyo kuendelea kusababisha damu kutoka pamoja na maumivu ya tumbo.
 
Back
Top Bottom