M mj909 Member Joined Aug 1, 2024 Posts 86 Reaction score 204 Sep 25, 2024 #1 Hivi kipimo cha ultrasound kinaweza kusema incomplete abortion nakikawa kimedanganya? Kwamba mimba imetoka ila ikawa bado ipo?
Hivi kipimo cha ultrasound kinaweza kusema incomplete abortion nakikawa kimedanganya? Kwamba mimba imetoka ila ikawa bado ipo?
Dr PL JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 327 Reaction score 537 Sep 25, 2024 #2 mj909 said: Hivi kipimo cha ultrasound kinaweza kusema incomplete abortion nakikawa kimedanganya? Kwamba mimba imetoka ila ikawa bado ipo? Click to expand... Hapana, hakidanganyi. Mimba inapoharibika si lazima itoke yote kwa wakati mmoja (complete abortion) bali kuna nyingine hutoka kidogo kidogo na kuna vipisi (tissues) vidogo hubaki ( incomplete abortion) hivyo kuendelea kusababisha damu kutoka pamoja na maumivu ya tumbo.
mj909 said: Hivi kipimo cha ultrasound kinaweza kusema incomplete abortion nakikawa kimedanganya? Kwamba mimba imetoka ila ikawa bado ipo? Click to expand... Hapana, hakidanganyi. Mimba inapoharibika si lazima itoke yote kwa wakati mmoja (complete abortion) bali kuna nyingine hutoka kidogo kidogo na kuna vipisi (tissues) vidogo hubaki ( incomplete abortion) hivyo kuendelea kusababisha damu kutoka pamoja na maumivu ya tumbo.