Wataalam naombeni ushauri, Nichukue simu ipi kati ya hizi endapo haizidi laki 3?

Wataalam naombeni ushauri, Nichukue simu ipi kati ya hizi endapo haizidi laki 3?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Bajet 320,000, hata refurbished za mtumba poa tu

  • HuaweiP20
  • HuaweiP20 lite
  • HuaweiP30
  • Nokia5.1 Plus (Nokia X5)
  • Nokia6.1
  • Nokia6.1 Plus (Nokia X6)
  • Nokia7.1
  • Nokia8 Sirocco
  • XiaomiMi 8 SE
  • XiaomiMi 9 SE
  • XiaomiMi A2 Lite (Redmi 6 Pro)
  • XiaomiMi Play
  • XiaomiRedmi 6
 
Bajet 320,000, Hata refurbished za mtumba poa tu

  • HuaweiP20
  • HuaweiP20 lite
  • HuaweiP30
  • HuaweiP40
  • HuaweiP40 4G
  • Nokia5.1 Plus (Nokia X5)
  • Nokia6.1
  • Nokia6.1 Plus (Nokia X6)
  • Nokia7.1
  • Nokia8 Sirocco
  • SamsungGalaxy A40
  • SamsungGalaxy A41
  • SamsungGalaxy A6 (2018)
  • SamsungGalaxy J6
  • SamsungGalaxy On6
  • SamsungGalaxy Xcover 5
  • XiaomiMi 8 SE
  • XiaomiMi 9 SE
  • XiaomiMi A2 Lite (Redmi 6 Pro)
  • XiaomiMi Play
  • XiaomiRedmi 6
Hayo masimu ya zamani umeyapenda nini? Kwa hiyo hela unapata simu mpya na chenji ya vocha inabaki
 
Bajet 320,000, Hata refurbished za mtumba poa tu

  • HuaweiP20
  • HuaweiP20 lite
  • HuaweiP30
  • HuaweiP40
  • HuaweiP40 4G
  • Nokia5.1 Plus (Nokia X5)
  • Nokia6.1
  • Nokia6.1 Plus (Nokia X6)
  • Nokia7.1
  • Nokia8 Sirocco
  • SamsungGalaxy A40
  • SamsungGalaxy A41
  • SamsungGalaxy A6 (2018)
  • SamsungGalaxy J6
  • SamsungGalaxy On6
  • SamsungGalaxy Xcover 5
  • XiaomiMi 8 SE
  • XiaomiMi 9 SE
  • XiaomiMi A2 Lite (Redmi 6 Pro)
  • XiaomiMi Play
  • XiaomiRedmi 6
Kwenye hii list Mkuu p40 ni nzuri zaidi, sema ina weakness kubwa mbili
1. Ukaaji chaji wa kawaida
2. Haina playstore.

Playstore unaweza kuiweka kwa njia mbadala.

P40 ni flagship ya mwaka 2020 ni Equivalent ya Galaxy S20 ama iphone 11 vitu kama Camera, Quality ya display, Video out, perfomance ya simu etc vitakua ni vikubwa sana kushinda simu zote kwenye hio list.
 
Bajet 320,000, Hata refurbished za mtumba poa tu

  • HuaweiP20
  • HuaweiP20 lite
  • HuaweiP30
  • HuaweiP40
  • HuaweiP40 4G
  • Nokia5.1 Plus (Nokia X5)
  • Nokia6.1
  • Nokia6.1 Plus (Nokia X6)
  • Nokia7.1
  • Nokia8 Sirocco
  • SamsungGalaxy A40
  • SamsungGalaxy A41
  • SamsungGalaxy A6 (2018)
  • SamsungGalaxy J6
  • SamsungGalaxy On6
  • SamsungGalaxy Xcover 5
  • XiaomiMi 8 SE
  • XiaomiMi 9 SE
  • XiaomiMi A2 Lite (Redmi 6 Pro)
  • XiaomiMi Play
  • XiaomiRedmi 6
Nimejaribu kutumia redmi 6 pro ram 4gb iko vizuri ingawa ni toleo la zamani.
 
Bajet 320,000, Hata refurbished za mtumba poa tu

  • HuaweiP20
  • HuaweiP20 lite
  • HuaweiP30
  • HuaweiP40
  • HuaweiP40 4G
  • Nokia5.1 Plus (Nokia X5)
  • Nokia6.1
  • Nokia6.1 Plus (Nokia X6)
  • Nokia7.1
  • Nokia8 Sirocco
  • SamsungGalaxy A40
  • SamsungGalaxy A41
  • SamsungGalaxy A6 (2018)
  • SamsungGalaxy J6
  • SamsungGalaxy On6
  • SamsungGalaxy Xcover 5
  • XiaomiMi 8 SE
  • XiaomiMi 9 SE
  • XiaomiMi A2 Lite (Redmi 6 Pro)
  • XiaomiMi Play
  • XiaomiRedmi 6
Tafuta Google pixel 3a, 3axl utanishukuru baadae
 
Kwenye hii list Mkuu p40 ni nzuri zaidi, sema ina weakness kubwa mbili
1. Ukaaji chaji wa kawaida
2. Haina playstore.

Playstore unaweza kuiweka kwa njia mbadala.

P40 ni flagship ya mwaka 2020 ni Equivalent ya Galaxy S20 ama iphone 11 vitu kama Camera, Quality ya display, Video out, perfomance ya simu etc vitakua ni vikubwa sana kushinda simu zote kwenye hio list.
Asante mkuu ila naona hio p40 bei imechangamka... naomba ushauri kwa list mpya niliyoweka
 
List mpya p30 ama pro yake
Habari Chief, kwa bajeti ya 650k ninaweza kupata simu gani kali kwa sasa?

Vipaumbele vya mtu ni
Picha kali
Ukaaji wa chaji
Kioo kikubwa
Uimara wa simu

Nb. Isiwe Brand yoyote ya Apple.

Je Samsung galaxy note 10+ 5G na S10+ 5G unazionaje??
 
Njoo nikuuzie Google pixel 3a xl gb 64

Utafurahi na roho yako
 
Bajet 320,000, hata refurbished za mtumba poa tu

  • HuaweiP20
  • HuaweiP20 lite
  • HuaweiP30
  • Nokia5.1 Plus (Nokia X5)
  • Nokia6.1
  • Nokia6.1 Plus (Nokia X6)
  • Nokia7.1
  • Nokia8 Sirocco
  • XiaomiMi 8 SE
  • XiaomiMi 9 SE
  • XiaomiMi A2 Lite (Redmi 6 Pro)
  • XiaomiMi Play
  • XiaomiRedmi 6
Huwezi nunua Nokia 5.1 plus simu ya 2018 nadhani kwa Bei hio, battery Ni ndogo Ni wazi utakuta imebadilishwa na imewekwa mbovu zaidi,.

Huwezi nunua redmi 6 wakati 10c mpya Ni 330k

Hata 6.1 kwa hio pesa hapana labda ka inauzwa 200 au 180k mwisho

Simu ya 2018 Hadi Sasa Ni miaka mingi Sana kwa simu labda bidhaa zingne sawa Ila kwa simu tayari Ni old
 
Habari Chief, kwa bajeti ya 650k ninaweza kupata simu gani kali kwa sasa?

Vipaumbele vya mtu ni
Picha kali
Ukaaji wa chaji
Kioo kikubwa
Uimara wa simu

Nb. Isiwe Brand yoyote ya Apple.

Je Samsung galaxy note 10+ 5G na S10+ 5G unazionaje??
Kwa Chaji note 10+ ni nzuri pia minimum storage yake ni 256GB, camera nzuri pia kioo kikubwa. Baina ya hizo mbili Note 10+ inatick mambo mengi.

Kuhusu Uimara simu za siku hizi zenye Glass kila sehemu inabidi uzitunze kweli, cover, protector muhimu.

Kama unaipata Note 10+ kwa hali nzuri ni choice nzuri, ila hizi za mtaani refurb kuwa makini hukawii kuuziwa kimeo.

Kwa simu mpya ambazo unatoa makaratasi mwenyewe Samsung unapata A33 5G. Camera nzuri ila sio kama Hio note 10, ila inakaa na chaji, ni kubwa na pia Build quality za midrange zinahimili vishindo. Advantage ya hii utapata warranty.
 
Back
Top Bottom