Wataalam naombeni ushauri, Nichukue simu ipi kati ya hizi endapo haizidi laki 3?

Wataalam naombeni ushauri, Nichukue simu ipi kati ya hizi endapo haizidi laki 3?

Kwa Chaji note 10+ ni nzuri pia minimum storage yake ni 256GB, camera nzuri pia kioo kikubwa. Baina ya hizo mbili Note 10+ inatick mambo mengi.

Kuhusu Uimara simu za siku hizi zenye Glass kila sehemu inabidi uzitunze kweli, cover, protector muhimu.

Kama unaipata Note 10+ kwa hali nzuri ni choice nzuri, ila hizi za mtaani refurb kuwa makini hukawii kuuziwa kimeo.

Kwa simu mpya ambazo unatoa makaratasi mwenyewe Samsung unapata A33 5G. Camera nzuri ila sio kama Hio note 10, ila inakaa na chaji, ni kubwa na pia Build quality za midrange zinahimili vishindo. Advantage ya hii utapata warranty.
Aksante sana.
 
Back
Top Bottom