Sio fan wa hizo simuiPhone vp huzipendi au??
Okay, chukua Nokia maana spare zake ni rahisi kupatikanasio fan wa hizo sim
Hayo masimu ya zamani umeyapenda nini? Kwa hiyo hela unapata simu mpya na chenji ya vocha inabakiBajet 320,000, Hata refurbished za mtumba poa tu
- HuaweiP20
- HuaweiP20 lite
- HuaweiP30
- HuaweiP40
- HuaweiP40 4G
- Nokia5.1 Plus (Nokia X5)
- Nokia6.1
- Nokia6.1 Plus (Nokia X6)
- Nokia7.1
- Nokia8 Sirocco
- SamsungGalaxy A40
- SamsungGalaxy A41
- SamsungGalaxy A6 (2018)
- SamsungGalaxy J6
- SamsungGalaxy On6
- SamsungGalaxy Xcover 5
- XiaomiMi 8 SE
- XiaomiMi 9 SE
- XiaomiMi A2 Lite (Redmi 6 Pro)
- XiaomiMi Play
- XiaomiRedmi 6
Kwenye hii list Mkuu p40 ni nzuri zaidi, sema ina weakness kubwa mbiliBajet 320,000, Hata refurbished za mtumba poa tu
- HuaweiP20
- HuaweiP20 lite
- HuaweiP30
- HuaweiP40
- HuaweiP40 4G
- Nokia5.1 Plus (Nokia X5)
- Nokia6.1
- Nokia6.1 Plus (Nokia X6)
- Nokia7.1
- Nokia8 Sirocco
- SamsungGalaxy A40
- SamsungGalaxy A41
- SamsungGalaxy A6 (2018)
- SamsungGalaxy J6
- SamsungGalaxy On6
- SamsungGalaxy Xcover 5
- XiaomiMi 8 SE
- XiaomiMi 9 SE
- XiaomiMi A2 Lite (Redmi 6 Pro)
- XiaomiMi Play
- XiaomiRedmi 6
Nimejaribu kutumia redmi 6 pro ram 4gb iko vizuri ingawa ni toleo la zamani.Bajet 320,000, Hata refurbished za mtumba poa tu
- HuaweiP20
- HuaweiP20 lite
- HuaweiP30
- HuaweiP40
- HuaweiP40 4G
- Nokia5.1 Plus (Nokia X5)
- Nokia6.1
- Nokia6.1 Plus (Nokia X6)
- Nokia7.1
- Nokia8 Sirocco
- SamsungGalaxy A40
- SamsungGalaxy A41
- SamsungGalaxy A6 (2018)
- SamsungGalaxy J6
- SamsungGalaxy On6
- SamsungGalaxy Xcover 5
- XiaomiMi 8 SE
- XiaomiMi 9 SE
- XiaomiMi A2 Lite (Redmi 6 Pro)
- XiaomiMi Play
- XiaomiRedmi 6
Tafuta Google pixel 3a, 3axl utanishukuru baadaeBajet 320,000, Hata refurbished za mtumba poa tu
- HuaweiP20
- HuaweiP20 lite
- HuaweiP30
- HuaweiP40
- HuaweiP40 4G
- Nokia5.1 Plus (Nokia X5)
- Nokia6.1
- Nokia6.1 Plus (Nokia X6)
- Nokia7.1
- Nokia8 Sirocco
- SamsungGalaxy A40
- SamsungGalaxy A41
- SamsungGalaxy A6 (2018)
- SamsungGalaxy J6
- SamsungGalaxy On6
- SamsungGalaxy Xcover 5
- XiaomiMi 8 SE
- XiaomiMi 9 SE
- XiaomiMi A2 Lite (Redmi 6 Pro)
- XiaomiMi Play
- XiaomiRedmi 6
Asante mkuu ila naona hio p40 bei imechangamka... naomba ushauri kwa list mpya niliyowekaKwenye hii list Mkuu p40 ni nzuri zaidi, sema ina weakness kubwa mbili
1. Ukaaji chaji wa kawaida
2. Haina playstore.
Playstore unaweza kuiweka kwa njia mbadala.
P40 ni flagship ya mwaka 2020 ni Equivalent ya Galaxy S20 ama iphone 11 vitu kama Camera, Quality ya display, Video out, perfomance ya simu etc vitakua ni vikubwa sana kushinda simu zote kwenye hio list.
List mpya p30 ama pro yakeasante mkuu ila naona hio p40 bei imechangamka... naomba ushauri kwa list mpya niliyoweka
Habari Chief, kwa bajeti ya 650k ninaweza kupata simu gani kali kwa sasa?List mpya p30 ama pro yake
Huwezi nunua Nokia 5.1 plus simu ya 2018 nadhani kwa Bei hio, battery Ni ndogo Ni wazi utakuta imebadilishwa na imewekwa mbovu zaidi,.Bajet 320,000, hata refurbished za mtumba poa tu
- HuaweiP20
- HuaweiP20 lite
- HuaweiP30
- Nokia5.1 Plus (Nokia X5)
- Nokia6.1
- Nokia6.1 Plus (Nokia X6)
- Nokia7.1
- Nokia8 Sirocco
- XiaomiMi 8 SE
- XiaomiMi 9 SE
- XiaomiMi A2 Lite (Redmi 6 Pro)
- XiaomiMi Play
- XiaomiRedmi 6
Kwa Chaji note 10+ ni nzuri pia minimum storage yake ni 256GB, camera nzuri pia kioo kikubwa. Baina ya hizo mbili Note 10+ inatick mambo mengi.Habari Chief, kwa bajeti ya 650k ninaweza kupata simu gani kali kwa sasa?
Vipaumbele vya mtu ni
Picha kali
Ukaaji wa chaji
Kioo kikubwa
Uimara wa simu
Nb. Isiwe Brand yoyote ya Apple.
Je Samsung galaxy note 10+ 5G na S10+ 5G unazionaje??