Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Nataka kufaKuna nini mkuu?
Tunazaliwa ili tufe. UsiogopeMh usiku saa hizi
šššššššNataka kufa
Na mmekazana kweli weekhiliNataka kufa
Tunazaliwa ili tufe.Na mmekazana kweli weekhili
Njoo mbeya tufe wote basTunazaliwa ili tufe.
Wenda uzi wangu umeingiliana na hao wengine ila mimi binafsi nauliza hilo swali kwa sababu za msingi sana.
Kuna kitu nahitaji kufahamishwa
Saa hizi ni msimu wa mvua safi. Acha niandae jembe la kuja kilimia soonNjoo mbeya tufe wote bas
Na aina ya maradhi au kifo alichopitia marehemu mfano, nilisikiaInategemeana na ntu na ntu
Wengine asubuhi wengine Usiku
Ikiwekewa Dawa ya Formaline ni baada ya Saa kati ya 12 hadi 48 ila isipowekewa ni baada ya dakika 15 hadi 30 na ndiyo kila mara GENTAMYCINE nahubiri kuwa Wanadamu tuache Kuringa, Kutamba na Kudharau Watu kwani pamoja na Nyodo zote hizo ila Tukifa tu tunakuwa ni zaidi ya Mizoga kwa Kutema / Kunuka vibaya kutokana na hali zetu za Kibaiolojia.Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili.
Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu?
Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
Sawa ngoja niandae langu piaSaa hizi ni msimu wa mvua safi. Acha niandae jembe la kuja kilimia soon
Aiseeh! Patashika nguo kuchanikašSawa ngoja niandae langu pia
Vipi mwanaume je?Nnachojua mwanamke funza wanatokea ukeni kwenye shimo la uke.
Tena usiku usiku wa mananeInategemeana na ntu na ntu
Wengine asubuhi wengine Usiku