Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Hata kwenye kari ya msiba ndugu? Duu!!!Siti ya mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwenye kari ya msiba ndugu? Duu!!!Siti ya mbele
Aliyefia majini atachelewa kuliko Aliyefia nchi kavu.. Maji haya oxygen ya kutosha so decomposing bacteria watatumia muda mwingiMuda wa maiti kuanza kuoza unatofautiana kutokana na aina ya vifa
Aliyefia majini ataoza haraka kuliko aliye jinyonga nk
Ushamfyeka mtoto wa mtu sababu ya wivu wa kimapenz sasa mkate kiungo kimoja kimoja ulavitupe sehem tofaut ila usibugi ukikamatwa hata na kidole umeishaaa utakua dem wa nyampara mileleWataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili.
Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu?
Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini