Kete Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 6,656 Reaction score 6,886 Dec 18, 2023 #21 Igulu Bugomola said: Siti ya mbele Click to expand... Hata kwenye kari ya msiba ndugu? Duu!!!
dimaa JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 4,174 Reaction score 5,658 Dec 18, 2023 #22 Mzee achana na habari za kufa
azithromycim JF-Expert Member Joined Apr 18, 2019 Posts 288 Reaction score 714 Dec 18, 2023 #23 Muda wa maiti kuanza kuoza unatofautiana kutokana na aina ya vifa Aliyefia majini ataoza haraka kuliko aliye jinyonga nk
Muda wa maiti kuanza kuoza unatofautiana kutokana na aina ya vifa Aliyefia majini ataoza haraka kuliko aliye jinyonga nk
edwayne JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 8,919 Reaction score 9,797 Dec 18, 2023 #24 Baada ya masaa 24. Ila inategemea ilipo kama ipo ndani ya maji itachelewa zaidi na kama imeshafukiwa itachelewa zaidi ya ndani ya maji
Baada ya masaa 24. Ila inategemea ilipo kama ipo ndani ya maji itachelewa zaidi na kama imeshafukiwa itachelewa zaidi ya ndani ya maji
edwayne JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 8,919 Reaction score 9,797 Dec 18, 2023 #25 SONDR said: Muda wa maiti kuanza kuoza unatofautiana kutokana na aina ya vifa Aliyefia majini ataoza haraka kuliko aliye jinyonga nk Click to expand... Aliyefia majini atachelewa kuliko Aliyefia nchi kavu.. Maji haya oxygen ya kutosha so decomposing bacteria watatumia muda mwingi
SONDR said: Muda wa maiti kuanza kuoza unatofautiana kutokana na aina ya vifa Aliyefia majini ataoza haraka kuliko aliye jinyonga nk Click to expand... Aliyefia majini atachelewa kuliko Aliyefia nchi kavu.. Maji haya oxygen ya kutosha so decomposing bacteria watatumia muda mwingi
dealkubwa Senior Member Joined Jul 1, 2020 Posts 144 Reaction score 587 Dec 19, 2023 #26 So special said: Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili. Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu? Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini Click to expand... Ushamfyeka mtoto wa mtu sababu ya wivu wa kimapenz sasa mkate kiungo kimoja kimoja ulavitupe sehem tofaut ila usibugi ukikamatwa hata na kidole umeishaaa utakua dem wa nyampara milele
So special said: Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili. Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu? Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini Click to expand... Ushamfyeka mtoto wa mtu sababu ya wivu wa kimapenz sasa mkate kiungo kimoja kimoja ulavitupe sehem tofaut ila usibugi ukikamatwa hata na kidole umeishaaa utakua dem wa nyampara milele