Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Kijana nakuomba unipatie huyo mjamzito nimtunze na kumlea. Njoo PM tuyajenge mie nitale mimba na mwenyewe mimba na mtotoUkiachilia mbali na vipimo vya DNA nitumie njia gani ili kubaini kama kabeba mimba yangu huyu mwanamke? Nimeandika nikiwa na machungu sana haiwezekani baada ya kunasa ujauzito amekuwa akiniona kama takataka tu. Kama sifai kwa chochote kwake. Tofauti na mwanzo alinipenda sana ila kwa sasa upendo umeshuka kama CD4
Another New Single Maza in Town.Ukiachilia mbali na vipimo vya DNA nitumie njia gani ili kubaini kama kabeba mimba yangu huyu mwanamke? Nimeandika nikiwa na machungu sana haiwezekani baada ya kunasa ujauzito amekuwa akiniona kama takataka tu. Kama sifai kwa chochote kwake. Tofauti na mwanzo alinipenda sana ila kwa sasa upendo umeshuka kama CD4
Nakubali.Njia ya uhakika ni kupima DNA tu ,tena ukapime NAIROBI KENYA.
Watu wa makamu ukiwauliza watakuambia mtoto akizaliwa atakua wako copy ya origin usiwe na wasiwasi mimba yako hiyoUkiachilia mbali na vipimo vya DNA nitumie njia gani ili kubaini kama kabeba mimba yangu huyu mwanamke? Nimeandika nikiwa na machungu sana haiwezekani baada ya kunasa ujauzito amekuwa akiniona kama takataka tu. Kama sifai kwa chochote kwake. Tofauti na mwanzo alinipenda sana ila kwa sasa upendo umeshuka kama CD4
Hahaha sisi ndio tupoHaya sasa furushi lishatia mimba huko🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Ila wanawake tuna huruma sana.
Tumekwishaaaa🙆♂️🙆♂️🙆♂️Hahaha sisi ndio tupo
Mtapata tabu sana😅Tumekwishaaaa🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Ndio maana Mungu aliweka kigezo cha kuoa kwanza ndio upewe hiyo kitu,hasara ya kuanza mapema kabla ya kuoa ukianza kukutana na hayo manyaunyau uwezekano wa kula kona ni mkubwa sana...Ukiachilia mbali na vipimo vya DNA nitumie njia gani ili kubaini kama kabeba mimba yangu huyu mwanamke? Nimeandika nikiwa na machungu sana haiwezekani baada ya kunasa ujauzito amekuwa akiniona kama takataka tu. Kama sifai kwa chochote kwake. Tofauti na mwanzo alinipenda sana ila kwa sasa upendo umeshuka kama CD4
Ukiachilia mbali na vipimo vya DNA nitumie njia gani ili kubaini kama kabeba mimba yangu huyu mwanamke? Nimeandika nikiwa na machungu sana haiwezekani baada ya kunasa ujauzito amekuwa akiniona kama takataka tu. Kama sifai kwa chochote kwake. Tofauti na mwanzo alinipenda sana ila kwa sasa upendo umeshuka kama CD4