Wataalam wa biashara naombeni somo hapa

Wataalam wa biashara naombeni somo hapa

Huwa nashangaa sana mtu anasema usitegemee biashara kama kula n.k,sisi wengine maisha yetu ni biashara na biashara ni maisha,hakuna binadamu yeyote anayefilisika kisa chakula,kufilisika ni anasa na wanawake
 
Biashara ambayo faida ni ndogo kuliko matumizi ni biashara yenye afya?

Mfano ukifanya mauzo, zaidi ya asilimia 60 hadi 70 inaenda kwenye matumizi kama maligafi n.k, na hakuna uwezekano wa kupunguza matumizi.

Karibuni mnielimishe naona natumia nguvu nyingi kwenye hii biashara, ni biashara ndogo tu.
Binafsi mimi nitasema io biashara ni nzuri na ukiipa muda basi lazima returns zipande. The goal of many businesses is that the business doesn't owe you kama revenue - cost na kinabaki kitu weka nguvu apo
 
Shukrani Mkuu 🤝🤝
 
Biashara ambayo faida ni ndogo kuliko matumizi ni biashara yenye afya?

Mfano ukifanya mauzo, zaidi ya asilimia 60 hadi 70 inaenda kwenye matumizi kama maligafi n.k, na hakuna uwezekano wa kupunguza matumizi.

Karibuni mnielimishe naona natumia nguvu nyingi kwenye hii biashara, ni biashara ndogo tu.
Daaaah bonge moja la bznes komaa nayo kiongozi.
Nilikua na bznes moja ilikua na sifa kama hii yako. Mm ilienda ivyo kwa mwaka mzima ila baada y mwaka mpk sasa ndio roho yangu na familia yangu.
 
Asante sana Mkuu 🤝🤝
 
Biashara ya kueleweka

Mapato - matumizi = Faida ≥ 0
 
Nimepita mitaa mingi ya jf hila mtaa nimeupenda ngoja nikae nichangie upeo wangu kuusu biashara na mahesabu yake katika biashara kwanza usifanye kwa kuiga kwa mtu aliyofanikia Bali fanya kwa mapenzi yako yote utakuwa tu kibiasha unazungumzia faida ya %30 ninyingi Sana ngoja nikupe mfano wa biashara yangu napata faida ya %10 tu kwa kila mzunguko mda mwingine Hadi %8 na matumizi yangu kwasiku yapopalepale
 
Back
Top Bottom