Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Naombnifahamu bei halisi ya camera hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeipiga kwa mbele tuone model yake...ila hiyo body itakuwa canon 1200d au 1300d. Dukani ikiwa na 15-50mm lens ni 1.3m hv ila used hadi laki 6 laki7Naombnifahamu bei halisi ya camera hii
Bado hujaiga vizuri, Tunataka kuona Namba hapo kwenye DKwa mbele iko hivi
Mkuu Hebu icheki kwa mbele nimepostiCanon EOS 100D ya 2013 itategemea na condition na accessories.
Ila mimi ningenunua kwa Laki 6 hadi Laki 8.
Napewa body, lens (18-35mm standard), na kits nyingine ndogo ndogo kama begi, chaja, nyaya etc.
Ila still itategemea na condition ya body ndio jambo la msingi.
Pia imenunuliwa lini na imepiga picha ngani hadi leo. Nyingi zinakufa ikifika count ya 200,000 hivi on average ingawa zinaweza fika 300,000 na zaidi.
Kujua idadi ya shutters:
All the best.
- Turn the camera on.
- Open the memory card door.
- Press “PLAY” +”OK” at the same time.
- Press on the dial, in the following order: up, down, left, right.
- Depress the shutter release button fully.
- Press up on the dial.
Hapa umepost lens mzee. Kama mwamba alivokuambia hapo kwenye namba. Ila naamini ni 100D hiyo.Kwa mbele iko hivi
inavo onyesha kama umenunua cha wizi upigi picha inayotakiwa,uoneshi ilivo ili mwenye nayo asije kukukamataSoma hiyo
400k tuwasilianewakuu mimi nina ij canon D3200 nauza 650K
+255682018204View attachment 1713635
View attachment 1713636
nikishauza kiongozi kwa 650k400k tuwasiliane
Bro, hv hizo DSLR zinaweza kuunganishwa kwenye tv, mfano unashoot harusi na raia wanataka kuona matukio kwenye tv je inawezekana kuonganishwa kwenye tv au ndo mpaka uwe na zile kamera kubwa kama za Sony.?Canon EOS 100D ya 2013 itategemea na condition na accessories.
Ila mimi ningenunua kwa Laki 6 hadi Laki 8.
Napewa body, lens (18-35mm standard), na kits nyingine ndogo ndogo kama begi, chaja, nyaya etc.
Ila still itategemea na condition ya body ndio jambo la msingi.
Pia imenunuliwa lini na imepiga picha ngani hadi leo. Nyingi zinakufa ikifika count ya 200,000 hivi on average ingawa zinaweza fika 300,000 na zaidi.
Kujua idadi ya shutters:
All the best.
- Turn the camera on.
- Open the memory card door.
- Press “PLAY” +”OK” at the same time.
- Press on the dial, in the following order: up, down, left, right.
- Depress the shutter release button fully.
- Press up on the dial.
Zinaweza bro ata hizi za bei ya kawaida (Chini ya Million 1). Unaweza kuta hadi zenye WiFi.Bro, hv hizo DSLR zinaweza kuunganishwa kwenye tv, mfano unashoot harusi na raia wanataka kuona matukio kwenye tv je inawezekana kuonganishwa kwenye tv au ndo mpaka uwe na zile kamera kubwa kama za Sony.?