Wataalam wa camera, bei halisi ya hii camera ni kiasi gani?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Naombnifahamu bei halisi ya camera hii

IMG-20210227-WA0008.jpg
IMG-20210227-WA0013.jpg
 
Mkuu weka specifications zake,hebu chukulia mimi naweka picha ya Simu ya techno harafu niwaulize wadau bei yake bila ya kutaja specifications za Simu husika.waweza pata jibu sahihi kweli ?
 
Canon model namba ingia google itasahidia kama auwezi kuzijua specification
 
Canon EOS 100D ya 2013 itategemea na condition na accessories.

Ila mimi ningenunua kwa Laki 6 hadi Laki 8.

Napewa body, lens (18-35mm standard), na kits nyingine ndogo ndogo kama begi, chaja, nyaya etc.

Ila still itategemea na condition ya body ndio jambo la msingi.

Pia imenunuliwa lini na imepiga picha ngani hadi leo. Nyingi zinakufa ikifika count ya 200,000 hivi on average ingawa zinaweza fika 300,000 na zaidi.

Kujua idadi ya shutters:
  1. Turn the camera on.
  2. Open the memory card door.
  3. Press “PLAY” +”OK” at the same time.
  4. Press on the dial, in the following order: up, down, left, right.
  5. Depress the shutter release button fully.
  6. Press up on the dial.
All the best.
 
Kwa mbele iko hivi
 
Attachments

  • IMG-20210227-WA0010.jpg
    IMG-20210227-WA0010.jpg
    56.9 KB · Views: 52
M
Canon EOS 100D ya 2013 itategemea na condition na accessories.

Ila mimi ningenunua kwa Laki 6 hadi Laki 8.

Napewa body, lens (18-35mm standard), na kits nyingine ndogo ndogo kama begi, chaja, nyaya etc.

Ila still itategemea na condition ya body ndio jambo la msingi.

Pia imenunuliwa lini na imepiga picha ngani hadi leo. Nyingi zinakufa ikifika count ya 200,000 hivi on average ingawa zinaweza fika 300,000 na zaidi.

Kujua idadi ya shutters:
  1. Turn the camera on.
  2. Open the memory card door.
  3. Press “PLAY” +”OK” at the same time.
  4. Press on the dial, in the following order: up, down, left, right.
  5. Depress the shutter release button fully.
  6. Press up on the dial.
All the best.
Mkuu Hebu icheki kwa mbele nimeposti
 
kwa kupigia picha za harusi,matukio mbali mbali tu.ni ya kawaida ila inafaa kwa matumizi hayo juu.jiajiri
 
Canon EOS 100D ya 2013 itategemea na condition na accessories.

Ila mimi ningenunua kwa Laki 6 hadi Laki 8.

Napewa body, lens (18-35mm standard), na kits nyingine ndogo ndogo kama begi, chaja, nyaya etc.

Ila still itategemea na condition ya body ndio jambo la msingi.

Pia imenunuliwa lini na imepiga picha ngani hadi leo. Nyingi zinakufa ikifika count ya 200,000 hivi on average ingawa zinaweza fika 300,000 na zaidi.

Kujua idadi ya shutters:
  1. Turn the camera on.
  2. Open the memory card door.
  3. Press “PLAY” +”OK” at the same time.
  4. Press on the dial, in the following order: up, down, left, right.
  5. Depress the shutter release button fully.
  6. Press up on the dial.
All the best.
Bro, hv hizo DSLR zinaweza kuunganishwa kwenye tv, mfano unashoot harusi na raia wanataka kuona matukio kwenye tv je inawezekana kuonganishwa kwenye tv au ndo mpaka uwe na zile kamera kubwa kama za Sony.?
 
Hii bila milioni na point huichukuii kuna sehemu nilishawahi kuona bei
 
Bro, hv hizo DSLR zinaweza kuunganishwa kwenye tv, mfano unashoot harusi na raia wanataka kuona matukio kwenye tv je inawezekana kuonganishwa kwenye tv au ndo mpaka uwe na zile kamera kubwa kama za Sony.?
Zinaweza bro ata hizi za bei ya kawaida (Chini ya Million 1). Unaweza kuta hadi zenye WiFi.
 
Back
Top Bottom