Wataalam wa Forex naweza kuendelea au niache

Wataalam wa Forex naweza kuendelea au niache

Habari wazee, hivi juzi nilianza biashara ya forex kwa kuweka kiasi cha usd 100 kwenye account. na hii ni history tangu nilivyoanza kutrade hadi sasa, naombeni mnipe ushauri kama naweza kuendelea au niache na kama naweza kuendelea nifanye nini ili nipate matokeo mazuri zaidi

View attachment 1435213
ungesema pia wewe unapendelea kutrde kwa style gani...mfano
calping, day trading, swing trading, position trading,
hapo sasa ndio ningekushauri kutoka na hiyo screen yk.
 
Back
Top Bottom