Wataalam wa historia, tusaidiane kuwatambua hawa viongozi

Wataalam wa historia, tusaidiane kuwatambua hawa viongozi

That pic is white supremacists worst nightmare, God bless the deads.
[HASHTAG]#BlackExcellence[/HASHTAG]
 
Nadhani vijana wamecheza na photoshop mkuu,nina uhakika baadhi ya watu hapo hawakuwahi kukutana,nahisi Garvey akifanya yake Bob alikuwa mdogo au hajazaliwa jspo sina uhakika sana
Hii picha ilipigwa wapi,

dae4f3361df84e9f11a1cef004af0c40.jpg
 
Dr kwame nkrumah,the great mohammed ali,bob marley,madiba,thomas sankara,muamar ghaddafi,malcolm x,patrice lumumba

Ni hayo tu kwa sasa....!!
 
Good editing, It's not a real picture.. I doubt.

By the way, it doesn't matter.

Kutoka kulia kwa waliosimama, Bob Nesta Marley, Nelson Mandela, Malcom X, Thomas Sankara, wa tano simkumbuki, George Padmore, Muhammar Ghadafi, Patrice Emery Lumumba **.

Kutoka kulia kwa waliokaa, Dr Kwame Francis Nkurumah, wa pili simfahamu, Muhammad Alli (Cassius Clay), Marcus Mosia Garvey.

Ngoja niingie kwenye Archives yangu nimtizame aliyesalia.

I stand to be corrected.
 
Hapo kuna Robert Nesta Marley, Nelson Mandela, Thomas Sankara, Mouammar Ghaddafi, Dk. Kwame Nkurumah, Cassius Clay, na.. niachie nafasi kwa wengine wamalizie.
Nice Job, Comrade.

Ahsante kwa jina halisi, Cassius Marcellus Clay Jr, Muhammad Ali si a.k.a (Also known as) ya original name yake?. Jina lipi lilitangulia kabla ya lingine?

Wa kwanza kushoto, kwa waliosimama anaweza kuwa Lumumba kweli?. I have doubt on this..

Karibu tuelekezane.
 
Bob marley kiongozi wa reaggae[emoji38] [emoji13] [emoji13] Nelson Mandela, Malcolm X, Thomas Sankara, Mohammed Ali, Elvis Presley[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Elvis Presley?.

You can't be serious aise...The rest upo sawa. Hongera sana.
 
Hii picha ilipigwa wapi, namuona Bobby Marley, Thomas sankara, Nelson Mandela, Muhammad Ali, Nkrumah na wengineo cjui kina nani

Nyerere sijui hukuwepo

dae4f3361df84e9f11a1cef004af0c40.jpg
seriously ham'oni iyo picha ni ya kuchorwa.??

njoo Nyumba ya sanaa, pale Ohio jengo la makao makuu ya NMB muone picha kama hizi na kazi nyingine za wasanii wa Kitanzania.
 
Nadhani vijana wamecheza na photoshop mkuu,nina uhakika baadhi ya watu hapo hawakuwahi kukutana,nahisi Garvey akifanya yake Bob alikuwa mdogo au hajazaliwa jspo sina uhakika sana
Hiki na mm nimekifiria , kwa kipindi kile haikuwa rahisi kwa wao kukutana pamoja Mf Mandela alifungwa 1960's na Sankara akaibuka 1980's sasa walikutana wapi? Hata mavazi tu hayaendani Tom kavaa Suti na kofia ya kijeshi?ila wamejitahidi usipokuwa makini huwezi gundua.
 
Picha pekee ambazo hazijafanyiwa editing ni ya Kwame Nkurumah na Mohammad Ali nyingine zote photoshop.
 
Back
Top Bottom