Wataalam wa historia, tusaidiane kuwatambua hawa viongozi

Wataalam wa historia, tusaidiane kuwatambua hawa viongozi

Hii picha ilipigwa wapi, namuona Bobby Marley, Thomas sankara, Nelson Mandela, Muhammad Ali, Nkrumah na wengineo cjui kina nani

Nyerere sijui hukuwepo

dae4f3361df84e9f11a1cef004af0c40.jpg
Nyerere yuko nyuma yao sambamba na Gadaffi

Mrefu hapa ni Nkwame Nkurumah na Mandela ..... au macho! eeeh! any way tuendelee!

Hii ni miamba ya Africa kwelikweli, iliyopita kwenye visu vikali vya moto wa Mkoloni, tena kabaila aliye kuwa na nguvu ya mali na Elimu kubwa.
Hawa wazee wetu ndo wametuweka pazuri hasa, yaani kwenye ramani ya Dunia, tukatambulika nakuheshimika mpaka leo sisi watu weusi. kwa kutumia kelele zao tu. na vilevile kwa kuimba, na matamko yenye misimamo. I am so sorry that Some of dem kicked the bucket in early age!

Leo tunaitwa ''wale watu wa Bara flani'' yaani mweusi yeyote ni African, hata wa USA ni hivo tu, but mchina huwezi sema ni Mjapani wala Mkorea,

Siyo hawa kinakajamba nani eti Nkurunzinza, sijui Jiwe na midege yake, lisu na upinzani wake.

Naomba mleta mada amrisha watu wote humu ndani tuwatolee heshima japo dakika moja hawa wazee wetu.
Naaanza mimi.........................!!!!!!!.............Amina.
 
Back
Top Bottom