whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Kinachonipa matumaini ni iyo logo ya lenovo inaonekana ikiwaka, jarbu fn+f2F1, F12
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachonipa matumaini ni iyo logo ya lenovo inaonekana ikiwaka, jarbu fn+f2F1, F12
Mkuu right now nimejaribu kuikonekt na HDMI/Tv naona tv imedisplay.
Toka nilivyoweka window juzi ikafeli sikukonekt tena hdmi.
Tazama picha
View attachment 2539658
Ngoja kesho nikiwa kwa office nitajitahidi kucheza nayo. Nitakuletea mrejesho SirKwa sasa jaribu ku update BIOS ingia kwenye official site weka serial number - update utupe mrejesho
kuna asilimia fulani ikawa ni issue inayohusiana na motherboard either graphics card au ics, au cable ya monitor - mobo
Umejaribu kutumia VGA cable kutest kwenye kioo kingine?Ubaya wa JF ya sasa hivi bila connection ya kujuana na watu humu hupati msaada.😅
Daah msaada wenu wataalam 🙏
Lenovo ni brand yenye uhanga sana kwenye matatizo ya namna hiyoBrand ni Lenovo Thinkpad
Hapana siwez kabisa, nimejaribu hata kutumia F Keys ila hazifui dafu coz it's all blank.
Mkuu yaani ni kama kukapua jicho. Yaani logo inaonekana kwa sekunde tu then rangi nyeupe inatokea. You can't do anything
Tatizo hapo ni screenMkuu right now nimejaribu kuikonekt na HDMI/Tv naona tv imedisplay.
Toka nilivyoweka window juzi ikafeli sikukonekt tena hdmi.
Tazama picha
View attachment 2539658
Basi kioo cha Pc ndio tatizoIna HDMI cable tu mkuu. Nimeikonect na TV hapa ndio naitumia
na kupiga nyundo utosini. Matokeo yake utakapo iwasha italazimika kufanya update.Inawezekana kuna app mpya umepakia kwenye system ambayo haiko compartible!....
Inawezekana wakati wa kuizima umeizima bila kufuata itifaki ya kufunga, kuzima kama umeme unavyokatika ni sawa
Nina Lenovo Thinkcentre ya all in one, imekuja kunizingua kwenye Blue screen na humu uzi wake niliuletaKabisa mkuu Lenovo zinasumbua sana sitakaa niinunue tena. Nina miaka nayo 4
Piga Ubuntu hutapata tena hio shida hizi windows wanatumaga drivers zina overide mwisho zinaua pc...kingine having multiple AV inachagia kuua HD...but ukiona yote hayafai nunua SSD utakua umemaliza mchezo.Nina Lenovo Thinkcentre ya all in one, imekuja kunizingua kwenye Blue screen na humu uzi wake niliuleta
Ile bluescreen error inatokea frequently na sehemu pekee ambayo haitokei ni kwenye safe mode ambayo apps nyingi zinakuwa disabled
Mi mwenyewe natumia SSD ila swala la lupiga ubuntu au Win7 ni swala ambalo siko tayari kwasababu linani limit kwenye mambo yanguPiga Ubuntu hutapata tena hio shida hizi windows wanatumaga drivers zina overide mwisho zinaua pc...kingine having multiple AV inachagia kuua HD...but ukiona yote hayafai nunua SSD utakua umemaliza mchezo
Mi mwenyewe ni a has-been ila tatizo lako limeisha, ntaomba notes kwa kina nanii.Nipe connection nami niwe maarufu kama nyie. Wengine wakifungua uzi nusu saa tu comments 100+
Wewe youtube huwaga unaitumia kuangalia nini?Habari...
Jumamosi nilikua naitumia Tarakirishi mpakato usiku nikaizima after hours ikiwa nzima kabisa. Jumapili jioni nikaiwasha niitumie lakini ikawa inaonyesha logo kidogo then inakuja rangi nyeupe kwenye kioo kizima (White Screen of Death)
Ikiwa hivyo huwezi kuona lololote wala kufanya chochote..nikajaribu kutumia Functions keys (Safe booting) ikashindikana...Nikataka nijaribu kuweka window haikuwezekana.
Options ikabidi niifungue japo iliniuma coz ndio ilikua mara ya kwanza toka naitumia. Nikatengenisha kila kitu safisha, nikahot na Hot Gun. Nikafunga nikawqsga kitu bado kipo vilevile.
Nikaona niifungie ndani tu for 3days lakini bado iko vilevile.
So nimeona niifngue kisha nitoe HDD nihamishe Data zote zilizomo kwenye Computer nyingie kisha HDD hiyo niiwekee Window nyingine kwa kutumia Computer nyingine then nihamishe kwenye Computer yangu hii mbovu.
Je njia hii itafaa?? Nasubiri Go ahead yenu juu ya hili au kama kuna njia zingine nielekezeni nufanye.
Ahsanteni...[emoji120]