Wataalam wa lugha naombeni mnisaidie kutafsiri maneno haya kwa lugha ya kiswahili

Siku nyingine mwanzilishi wa mada upanue utafutaji wako, maana title ya sread yako inawataka wataalamu wa lugha hivyo kuwaengua ambao si wataalamu katika kuchangia.
 
Sasa mkuu mimi nitawajuaje hao wataalam wa lugha? kwani wana vitambulisho maalumu vinavyowatambulisha kama wao ni wataalam wa lugha au la?
 
Shukrani sana dada yangu kwa maelezo yako mazuri ila Kwenye upande wa recipe - viungo hapo ntapingana na wewe kwa sababu ndani ya recipe huwa kuna vitu vifuatavyo;

  • Appetizers
  • Beverages
  • Breakfasts
  • Desserts
  • Lunch
  • Main Dishes
  • Side Dishes
​

Sasa unataka kuniambia hivyo navyo ni viungo?

Ulipoweka bandiko hili nilijua unauliza kwa misingi ya vitu vinavyohusika moja kwa moja na mapishi. Ila naona wewe umeichukulia Recipe kama Guideline ama Process (upande wa maandalizi ya vilivyoandaliwa tayari)… Ambayo ipo applicable katika vitu vinavyohitaji matayarisho bila kujali kuwa ni chakula ama lah..

Nikiliangalia maneno uliyo omba tafsiri hapo na kuyachukulia hayo maneno in "Context" nadhani majority wata conclude moja kwa moja kuwa maana uliyotaka ni ya "Viungo" na huku kwingine ni matter of complicating it.

So niseme kuwa unaweza kataliana na maana yangu, ila kwa kweli whether you like it or not moja ya maana kubwa ya recipe (katika ulimwengu wa mapishi) ni "Viungo".

Ila ukija upande wa matayarisho ya "Dish Course" (Maana ya recipe uliyo ashiria) then hapo upo sawa kutaka kukataa…. Ingawa TAKE NOTE; Bado ningeweza itetea kuwa ni "Kiungo"; In the sense kuwa ni Kiungo cha process ya matayarisho ya chakula kwa muktadha wa vipengele vya recipe ulivyotoa.

All in all, naamini kabisa utapata majibu stahili ya kukuridhisha toka kwa members wengine. Kuwa na siku njema YM.
 
Shukrani sana ila kwenye recipe hapo bado kuna utata...unazungumzia mchanganuo wa nini wa vyakula au?

I thought tunaongelea mapishi na vyakula?
So l meant mchanganuo wa chakula; come to think of it naona kama haileti maana vizuri labda tujaribu "mahitaji ya pishi" au "mchanganuo pishi"
 
Ulipoweka bandiko hili nilijua unauliza kwa misingi ya vitu vinavyohusika moja kwa moja na mapishi. Ila naona wewe umeichukulia Recipe kama Guideline ama Process (upande wa maandalizi ya vilivyoandaliwa tayari)… Ambayo ipo applicable katika vitu vinavyohitaji matayarisho bila kujali kuwa ni chakula ama lah..

Nikiliangalia maneno uliyo omba tafsiri hapo na kuyachukulia hayo maneno in "Context" nadhani majority wata conclude moja kwa moja kuwa maana uliyotaka ni ya "Viungo" na huku kwingine ni matter of complicating it.

So niseme kuwa unaweza kataliana na maana yangu, ila kwa kweli whether you like it or not moja ya maana kubwa ya recipe (katika ulimwengu wa mapishi) ni "Viungo".

Ila ukija upande wa matayarisho ya "Dish Course" (Maana ya recipe uliyo ashiria) then hapo upo sawa kutaka kukataa…. Ingawa TAKE NOTE; Bado ningeweza itetea kuwa ni "Kiungo"; In the sense kuwa ni Kiungo cha process ya matayarisho ya chakula kwa muktadha wa vipengele vya recipe ulivyotoa.

All in all, naamini kabisa utapata majibu stahili ya kukuridhisha toka kwa members wengine. Kuwa na siku njema YM.

I see. Shukrani sana dada yangu.
 
recipe-mapishi:maelezo ya upishi
cuisine-upishi(wa tamaduni fulani)
main dish-mlo mkuu
side dish-mlo ongez(i,wa,o)
appetizers-kiamsha hamu(ya chakula)
pamoja na kuongezeamo maakili yangu mengine
nimedeseamo kamusi ya TUKI ENGLISH-KISWAHILI
 
nilikuwa nasubiria uje uhitimishe somo mwl wa ukweeeh! Santee.
 
habari ya siku ya leo wapendwa wana JF, naombeni mnisaidie kutafsiri maneno yafuatayo kwa lugha ya kiswahili maana nimehangaika kutafuta tafsiri yake bila mafanikio yoyote.
  1. Recipes
  2. Cuisines
  3. Main Dish
  4. Side Dish
  5. Appetizers

Maneno hayo yanayo onekana hapo juu hutumika sana kwenye mambo ya vyakula sasa usije ukaona dish hapo juu ukaniambia ukatafsiri vingine.

Recipes - Mapishi
Cuisines - Upishi, Mapishi.
Main Dish - Chakula kikuu
Side Dish - Kitindamlo
Appetizers - V/Kiamsha hamu
 
cuisine -mahanjumati
recipe -vikolombwezo/viungo
main dish -mlo mahususi
side dish -mlo nyongeza
appertizer -mlo kileta hamu
 
Back
Top Bottom