Wataalam wa lugha naombeni mnisaidie kutafsiri maneno haya kwa lugha ya kiswahili

Wataalam wa lugha naombeni mnisaidie kutafsiri maneno haya kwa lugha ya kiswahili

Hahah hiyo ni kutoka kamusi nyingine tu, ni app ya Android

TUKI tafsiri yao ni hii:

ingredient n kiambato.

Natumai u mzima best yangu...kitambo!!!

Umeona eeh jinsi lugha yetu ilivyosimama si mchezo..naona app yako ilionyesha umahiri wake kutafsiri🙂)

Thanks, mimi sijambo besti majukumu mengi..vipi wewe?umefichwa wapi??
 
Mmh! lugha yetu ni nzuri ila wengi wetu wala hatujui misamiati loh!!!
Hahah ngoja nikufuate PM....maana huku tupo jukwaa la wasomi hehehe!!

Umeona eeh jinsi lugha yetu ilivyosimama si mchezo..naona app yako ilionyesha umahiri wake kutafsiri🙂)

Thanks, mimi sijambo besti majukumu mengi..vipi wewe?umefichwa wapi??
 
recipe = maelezo ya mapishi/ mwongozo wa mapishi
cuisine = upishi, mapishi
main dish = mlo halisi/mkuu
side dish = kitoweo
appetizer = kiamshahamu, kitiahamu
 
Back
Top Bottom