BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,474 Reaction score 4,039 Apr 5, 2013 #41 watu8 said: ingredients huitwa vichopo (vichopovichopo) Click to expand... aah kumbe!..ipo kwenye TUKI lakini? ha ha
watu8 said: ingredients huitwa vichopo (vichopovichopo) Click to expand... aah kumbe!..ipo kwenye TUKI lakini? ha ha
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Apr 5, 2013 #42 BelindaJacob said: aah kumbe!..ipo kwenye TUKI lakini? ha ha Click to expand... Hahah hiyo ni kutoka kamusi nyingine tu, ni app ya Android TUKI tafsiri yao ni hii: ingredient n kiambato. Natumai u mzima best yangu...kitambo!!!
BelindaJacob said: aah kumbe!..ipo kwenye TUKI lakini? ha ha Click to expand... Hahah hiyo ni kutoka kamusi nyingine tu, ni app ya Android TUKI tafsiri yao ni hii: ingredient n kiambato. Natumai u mzima best yangu...kitambo!!!
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,474 Reaction score 4,039 Apr 5, 2013 #43 watu8 said: Hahah hiyo ni kutoka kamusi nyingine tu, ni app ya Android TUKI tafsiri yao ni hii: ingredient n kiambato. Natumai u mzima best yangu...kitambo!!! Click to expand... Umeona eeh jinsi lugha yetu ilivyosimama si mchezo..naona app yako ilionyesha umahiri wake kutafsiri🙂) Thanks, mimi sijambo besti majukumu mengi..vipi wewe?umefichwa wapi??
watu8 said: Hahah hiyo ni kutoka kamusi nyingine tu, ni app ya Android TUKI tafsiri yao ni hii: ingredient n kiambato. Natumai u mzima best yangu...kitambo!!! Click to expand... Umeona eeh jinsi lugha yetu ilivyosimama si mchezo..naona app yako ilionyesha umahiri wake kutafsiri🙂) Thanks, mimi sijambo besti majukumu mengi..vipi wewe?umefichwa wapi??
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Apr 5, 2013 #44 Mmh! lugha yetu ni nzuri ila wengi wetu wala hatujui misamiati loh!!! Hahah ngoja nikufuate PM....maana huku tupo jukwaa la wasomi hehehe!! BelindaJacob said: Umeona eeh jinsi lugha yetu ilivyosimama si mchezo..naona app yako ilionyesha umahiri wake kutafsiri🙂) Thanks, mimi sijambo besti majukumu mengi..vipi wewe?umefichwa wapi?? Click to expand...
Mmh! lugha yetu ni nzuri ila wengi wetu wala hatujui misamiati loh!!! Hahah ngoja nikufuate PM....maana huku tupo jukwaa la wasomi hehehe!! BelindaJacob said: Umeona eeh jinsi lugha yetu ilivyosimama si mchezo..naona app yako ilionyesha umahiri wake kutafsiri🙂) Thanks, mimi sijambo besti majukumu mengi..vipi wewe?umefichwa wapi?? Click to expand...
K klf Member Joined Jun 12, 2009 Posts 58 Reaction score 11 Nov 5, 2013 #45 recipe = maelezo ya mapishi/ mwongozo wa mapishi cuisine = upishi, mapishi main dish = mlo halisi/mkuu side dish = kitoweo appetizer = kiamshahamu, kitiahamu
recipe = maelezo ya mapishi/ mwongozo wa mapishi cuisine = upishi, mapishi main dish = mlo halisi/mkuu side dish = kitoweo appetizer = kiamshahamu, kitiahamu