Wakuu nimerudishwa nyuma kimaendeleo, kuna mwivi kaingia shambani kwangu kapora mifug 10 wakubwa.
Nimefuata hatua za kipolisi na mtuhumiwa anashikiliwa kituoni. Sijaridhika nataka nitafute haki yangu kwa njia tajwa hapo juu, kama unamjua bingwa wa kutoa disiplini acha neno hapa au pm tafadhali. Wenye imani ya samehe saba mara sabini naomba msichangie. Karibuni.