Wataalam wa nyoka huyu ni nyoka gani?

Wataalam wa nyoka huyu ni nyoka gani?

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Habari za jioni,

Wataalam wa nyoka na wazee wa pori, napenda kujua huyu ni Aina gani ya nyoka and kama ana sumu au hana.

And vipi tabia zake, anatembea mwenyewe au wawili wawili.

20221215_221725.jpg
 
Nimetuma hiyo picha kwa African Snake Bite Institute, wamesikitika kuuawa kwa huyo nyoka ila wamethibitisha kwamba huyo ni KIFUTU (Puff Adder). Hivyo natengue huu ujumbe hapa chini, awali nilidhani ni Sinzinia.

👇👇👇👇

Huyo nyoka anaitwa Sanzinia au Madagascar Tree Boa, ni nyoka adimu sana wanaopatikana kisiwa cha Madagasca, hawana sumu kabisa na waweza hata kumshika bila madhara, kwa kifupi umeua kiumbe adimu sana ambacho hakina madhara yoyote kwako!

Je maeneo unayoishi ni karibu na bahari?

images - 2022-12-15T233825.154.jpeg

Madagascar_Tree_Boa_(Sanzinia_madagascariensis)_(10327955366).jpg
 
Huyo nyoka anaitwa Sanzinia au Madagascar Tree Boa, ni nyoka adimu sana wanaopatikana kisiwa cha Madagasca, hawana sumu kabisa na waweza hata kumshika bila madhara, kwa kifupi umeua kiumbe adimu sana ambacho hakina madhara yoyote kwako!

Je maeneo unayoishi ni karibu na bahari?

View attachment 2448184

Hakuna bahari kabisa ni Dodoma
 
Back
Top Bottom