Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwetu tunamuita limoma.Habari za jioni,
Wataalam wa nyoka na wazee wa pori, napenda kujua huyu ni Aina gani ya nyoka and kama ana sumu au hana...
Yani mpaka mazingira niliyopo najikuta sina amani nayo nakagua kaguaUnachafukwa hadi siku unaziona
Itakua kwenu kuna wakubwaKuna mshikaji wangu alikuwa ameketi mahala kajamaa kakawa keshaanza kunyanyuka ili kurusha sumu. We kama bahati nilitokea nyoka akanigeukia Mimi Cha kushangaza alilala mwenyewe kama dakika Tano hivi nikasema ondoka lol alisepa balaa. Sasa Cha kushangaza sio mara ya kwanza huwa nyoka wakiniona wanalegea na kusepa. Nitashukuru mkinisaidia kwa hili ni kwanini
Chakushangaza nikienda ugenini haipiti siku tatu sijaona nyoka, wakati mwingine nashtuka tuu nimemshika nikiwa na pilika zangu ila hanifanyi chochote. Sasa Kuna wakubwa kivipiItakua kwenu kuna wakubwa
Huo ni uongo. Boa ni chatu. Huyo hapo ni kifutu.Huyo nyoka anaitwa Sanzinia au Madagascar Tree Boa, ni nyoka adimu sana wanaopatikana kisiwa cha Madagasca, hawana sumu kabisa na waweza hata kumshika bila madhara...
Watamu sana hawa. KISEBENGO. unaweza mchemsha tu baada ya kumtoa ngozi. Au unaweza mchoma au mkaanga au mpika na mchuzi. Kitimoto yenu haioni ndani. Mtamu sana. Kule china kakipande tu kama kidole gumba unakuta Hotelini Tsh 1,000,000. NASISITIZA WATAMU SANA.Habari za jioni,
Wataalam wa nyoka na wazee wa pori, napenda kujua huyu ni Aina gani ya nyoka and kama ana sumu au hana...
Mifupa ya nyoka haiwezi kuwa na sumuKama ni kifutu huwa wanatembea wawili tena hadi mifupa yake inakuwaga na sumu kama ukikanyaga
Hawa nilikua nakutana nao sana dodoma kipondi hcho mvua ikinyesha kidogo tu usiku wanazagaa hila wenyeji walikua wanatuambia awaumi na wala awana sumu na kweli cjawai sikia kesi yao ya kuuma watu na wapo wengi sana aipiti wiki usikutane nao wanapita hadi miguuni awana shidaHabari za jioni,
Wataalam wa nyoka na wazee wa pori, napenda kujua huyu ni Aina gani ya nyoka and kama ana sumu au hana.
And vipi tabia zake, anatembea mwenyewe au wawili wawili.
View attachment 2448174
Mkuu usitengeneze ligi ya kubisha kama haujui jambo.Mifupa ya nyoka haiwezi kuwa na sumu
Siyo kweli kwamba hawaumi.Hawa nilikua nakutana nao sana dodoma kipondi hcho mvua ikinyesha kidogo tu usiku wanazagaa hila wenyeji walikua wanatuambia awaumi na wala awana sumu na kweli cjawai sikia kesi yao ya kuuma watu na wapo wengi sana aipiti wiki usikutane nao wanapita hadi miguuni awana shida
Kifutu. Extremely poisonousHabari za jioni,
Wataalam wa nyoka na wazee wa pori, napenda kujua huyu ni Aina gani ya nyoka and kama ana sumu au hana.
And vipi tabia zake, anatembea mwenyewe au wawili wawili.
View attachment 2448174
Shit can happen..Kama barabara ajari ya barabarani inaua hata balozi, kifutu ndio kitu gani sasa?Kwa mini umekatisha maisha ya kiumbe hai?
Koboko ni black mamba...you are talking about something elseKoboko hilo
Kitimoto na nyoka havifanani? Moja nyara ya serikali na huwezi peleka shingo kibra, wakati nyingine unadondosha shingo ikiwa imeelekea kibraWatamu sana hawa. KISEBENGO. unaweza mchemsha tu baada ya kumtoa ngozi. Au unaweza mchoma au mkaanga au mpika na mchuzi. Kitimoto yenu haioni ndani. Mtamu sana. Kule china kakipande tu kama kidole gumba unakuta Hotelini Tsh 1,000,000. NASISITIZA WATAMU SANA.
Sumu ya nyoka haipo kwenye mifupa. Ipo kwenye tezi zilizoko kichwani huku. Hizo za mifupa kuwa na sumu ni habari za vijiweni.Mkuu usitengeneze ligi ya kubisha kama haujui jambo.
Ukanyage uchomwe na mfupa wa koboko usife?