Wataalam wa nyoka huyu ni nyoka gani?

Wataalam wa nyoka huyu ni nyoka gani?

Sumu ya nyoka haipo kwenye mifupa. Ipo kwenye tezi zilizoko kichwani huku. Hizo za mifupa kuwa na sumu ni habari za vijiweni.
Kweli,tabora kule swila/cobra wengi yaani Kama mijusi tu,aliuliwa pembezoni ya kiwanja Cha mpira,kwenye kucheza mmoja wetu akakanyaga mifupa,ile Imani kwamba unapata sumu tulikua nayo,lakini wapi,mwana alikua fresh tu,sumu zinakaa kwenye glands huku kichwani,nyoka mwenye sumu kichwani mataya yametanuka
 
Kwa taarifa yako. Bora ung'atwe na nyoka kuliko kuchomwa na mfupa. Mfupa ukikuchoma ni issue nyingine.
 
Hawa nilikua nakutana nao sana dodoma kipondi hcho mvua ikinyesha kidogo tu usiku wanazagaa hila wenyeji walikua wanatuambia awaumi na wala awana sumu na kweli cjawai sikia kesi yao ya kuuma watu na wapo wengi sana aipiti wiki usikutane nao wanapita hadi miguuni awana shida
Nyoka mkubwa hivyo anapita tu mguuni umrtulia tu?
 
Chakushangaza nikienda ugenini haipiti siku tatu sijaona nyoka, wakati mwingine nashtuka tuu nimemshika nikiwa na pilika zangu ila hanifanyi chochote. Sasa Kuna wakubwa kivipi
wazee ..
kwenu wazee wapo!
mana hio sio kawaida
 
Hivi kumbe kweli kabisa kuna mijoka mikubwa namna hii.! Sijawahi kutana na nyoka mkubwa kiasi hicho huwa naona kwenye mapicha naona tu ni mapicha picha kumbe kweli wapo wakubwa
Huyo ni kifutu(moma) mzee, na huwa wanakuwa wawili wawili... Shambani kwangu tushaua kama wa5 hivi. Wengine walikuwa pair.

Pichani ni wawili, waliuwawa sehemu moja kwa tofauti ya nusu saa tu.View attachment 2448253View attachment 2448254
 
Huyo nyoka anaitwa Sanzinia au Madagascar Tree Boa, ni nyoka adimu sana wanaopatikana kisiwa cha Madagasca, hawana sumu kabisa na waweza hata kumshika bila madhara, kwa kifupi umeua kiumbe adimu sana ambacho hakina madhara yoyote kwako!

Je maeneo unayoishi ni karibu na bahari?

View attachment 2448189

View attachment 2448184
Madhara ya ku-google mwisho unaokota taarifa zisizo sahihi ambazo baadae zinakuletea madhara. Huyo ni kifutu usimuingize chaka mwenzio.
 
Back
Top Bottom