Wataalam wa nyoka huyu ni nyoka gani?

Nimetuma hiyo picha kwa African Snake Bite Institute, wamesikitika kuuawa kwa huyo nyoka ila wamethibitisha kwamba huyo ni KIFUTU (Puff Adder). Hivyo natengue huu ujumbe hapa chini, awali nilidhani ni Sinzinia.

👇👇👇👇


Huyo nyoka anaitwa Sanzinia au Madagascar Tree Boa, ni nyoka adimu sana wanaopatikana kisiwa cha Madagasca, hawana sumu kabisa na waweza hata kumshika bila madhara, kwa kifupi umeua kiumbe adimu sana ambacho hakina madhara yoyote kwako!

Je maeneo unayoishi ni karibu na bahari?



 


Hakuna bahari kabisa ni Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…