Wataalam wa Sheria sogeeni

Wataalam wa Sheria sogeeni

murrl

Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
14
Reaction score
13
Naitwa Peter nipo Kigambon, Mimi ni fundi ujenzi ilikuwa majuzi nilikuwa site nikijenga chemba mara ghafla manispaa wakaingia (wazee wa kibali cha ujenzi) bahati nzuri bosi alikuwepo ko sikuwanza sana kuhusu hili, walijitambulisha vizuri hatamae wakauliza vipi hapa kibali cha ujenzi kipo? Bos akawajibu "nani kawaambia kuwa hapa kibali hakipo na nani kawatuma"?

Wakajibu hatujatumwa na mtu bali ni wajibu wetu kama idala husika. Bos akawajibu ngoja nije akaingia ndani, wakaambizana anatuletea jeuri, tunaondoka na huyu fundi, Basi tukaanza kuzinguana hapo nikijitetea nisiingizwe kwenye gani nikibisha kwanini mnichukuwe wakati bos yupo kiukweli tulizinguana hatimae wakanizidi nguvu kwa kuwa alikuwa watano, Wakatu nikiwa kwenye gari la manispaa Bos akanipigia na kuniuliza mmefika wapi nikamueleka sehemu tulipo akaja na kuwadai mshusheni huyo mnichukuwe mimi je huyu anahusika na kitu gani?

Mimi mwenye nyumba nipo muachieni huyu, wakakataa, nikahis mgambo wanaogopa kumkamata kwakuwa ni mwanajeshi. Basi kilichotokea Jamaa aligoma hata kuja kunitoa kule kwa kudai siji kwa sababu mwenye nyumba nilikuja na wakakukatalia pengine labda wanamasilahi na wewe, ikabidi mimi familia yangu ije kuniwekea mzamana ili nitoke selo. Je hii kitaalam imekaaje? wazee wa sheria Tafadhali.

IMG_20220107_184819.jpg
 
Hiyo inaitwa false arrest/ wrongful arrest. Tafuta pesa usogee kwa wakili akihoji vizuri ili aweze ku establish Kama vigezo vinavyotakiwa vimetimia.

Lakini haya Ni makosa ya tort, ambayo hutimia kwa vigezo vyilivyo kubalika kimahakama na common law.
 
kosa langu kwa kuwa bos kagoma kuondoka nao, wakaona kwa kuwa huyu ni fundi wake wacha tuondoke nae bos wake atamfata
Na we ukakubali kwenda, umeshindwa hata kuwapiga na machepe?
 
Uwe una Jenga ukiw karibu na panga pembeni ikitokea wako seriuous chukuwa hyo panga waoneashe jinsi nyama za buchani zilivyo
 
Back
Top Bottom