Wataalam wa sheria tupeni uelekeo wa kesi ya Lissu, tunaye au watamnyonga

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Kwenye betting tunasema cash out
Ukiwa unatazama game inavyoenda unaweza kuona uelekeo na kutoa mzingo

Mnyukano wa hoja unaendelea
Namkumbuka

1. Walianza mashahidi wa Jamhuri

2. Ushahidi muhimu wa video na picha ulikataliwa, ambao ulikuwa muhimu

3 TAL akiwabana Mashahidi wa kubumba

4. Mahakama ilimkuta TAL kesi ya kujibu (binafsi hili lilinishtua)

5. Leo tuko na mashahidi wa Lissu

6. Kinachonistua kidogo Lissu anakubali kutamka maneno " uasi" na. " Kukinukisha'
 
Aisee wabongo noma. Yaani hii kesi inahitaji uanasheria kujua kama ni ya kubumba?
 
Da Pipi nishushe
 
Ingawaje uwanja ni wao na marefa ni wao hata var ni yao bila bodi ya ligi kupe maelekezo apo hanyongwi mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…