Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Off side. Hata VAR ingeonesha hivyo. Simba imebebwaJe Luis alikuwa katika offside position ama lah katika goli alilofunga leo dhidi ya Prisons?View attachment 1722295
Position ya mpira unaonekana, position ya mtoa assist anaonekana na pia mfungaji anaonekana. Hata wale wanaoonesha video (Tv stations) huwa kuna mahali watagandisha ili kuangalia position ya mfungaji wakati mpira unapigwa na mtoa assistSasa picha hiyo uliyotuma, mtaalamu gani anaweza kutafsiri offside? Embu fikiria kama mtu hajaangalia mpira kabisa
Kwani ukitemwa na kipa offside inakufa?Mi nikafikiri unaongelea aliyofunga Mgalu baada ya kipa kuitema,na kukataliwa na mshika kibendera tungeanzia hapo
Sawa mkuu nakurudishia nyuma tena. hapa nakuwekea kipindi ambacho mpira unaenda kwa Morrison, angalia position ya Luis yupo wapi?Huo mpira huoni kwamba uko hewani, utajuaje wakati unapigwa mfungaji aliwahi kuchomoka,. Kurahisisha mambo jaribu kurudisha huo mpira ugande kabisa kwa jamaa alietoa assist, ndio utajua exactly eneo alilokuwa mfungaji
Hatuimbi taarabu hapa kama hujui sheria kaa pembeni hapa tunazungumzia sheria ya offside. Ukisema sio offside unatakiwa useme kivipi sio offside. Ukisema ni offside unatakiwa pia utuambia kivipi. Wewe peke yako umekuja na taarabu hapaMashabiki wa yanga wanashida sehemu yan viongozi wamewajengea kulalamika tu,Leo simba goli moja limekataliwa na penati 3 zimekataliwa lakn hatujalalamika,nyie fiston juzi kafunga kwa offside sisi hatujalalamika Leo mmbeibukia kwenye goli ambalo sio offside ,timu inamademu na watu wengi hawajui mpira yan viongozi wamewajenga kulalamika tu
Kuna mtaalamu hapo kasema kama ulivyosema wewe na kisha katoa wazo kuwa nirudishe kipindi ambacho kabla mtoa assist haujapigwa mpira kwenda kwa Luis. Tuangalie Luis alikuwa wapi nikafanya hivyo. Na hapa ni kabla mpira haujamfikia Morrison Wala Luis mwenyewe. Je Luis yupo kwenye position ipi?Ili kuweza kutambua kama ni offside au sio offside kwa picha hio sio msaada maana tunaangalia position ya mchezaji alipo na wakati mpira unapigwa lakini hio picha inaonyesha tayari mpira ushapigwa@my take weka video watu wachambue
Position ya mpira hapo tayari ulishatoka kwa mtoa pasi, ni ngumu kuona offside maana haionyeshi mpira ulipotoka kwa mtoa pasi, mfungaji alikuwa wapiPosition ya mpiira unaonekana, position ya mtoa assist anaonekana na pia mfungaji anaonekana. Hata wale wanaooneshs video (tv stations) huwa kuna mahali watagandisha ili kuangalia position ya mfungaji wakati mpira unapigwa na mtoa assist
Na hii je? Hapa mpira ndio unaelekea kwa Morrison kabla ya kupiga kichwa kwenda kwa LuisPosition ya mpira hapo tayari ulishatoka kwa mtoa pasi, ningumu kuona offside maana haionyeshi mpira ulipotoka kwa mtoa pasi, mfungaji alikuwa wapi
Asante mkuu video imesaidia.Kwa wale wanaohitaji video