Wataalam wa sheria ya offside tunaomba ufafanuzi hapa

Wataalam wa sheria ya offside tunaomba ufafanuzi hapa

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Je, Luis alikuwa katika offside position ama lah katika goli alilofunga leo dhidi ya Prisons?

Screenshot_2021-03-10-21-34-02-636_com.instagram.android.jpg
 
Sasa picha hiyo uliyotuma, mtaalamu gani anaweza kutafsiri offside? Embu fikiria kama mtu hajaangalia mpira kabisa
Position ya mpira unaonekana, position ya mtoa assist anaonekana na pia mfungaji anaonekana. Hata wale wanaoonesha video (Tv stations) huwa kuna mahali watagandisha ili kuangalia position ya mfungaji wakati mpira unapigwa na mtoa assist
 
Huo mpira huoni kwamba uko hewani, utajuaje wakati unapigwa mfungaji aliwahi kuchomoka. Kurahisisha mambo jaribu kurudisha huo mpira ugande kabisa kwa jamaa alietoa assist, ndio utajua exactly eneo alilokuwa mfungaji
 
Mashabiki wa Yanga wanashida sehemu ya viongozi wamewajengea kulalamika tu, leo Simba goli moja limekataliwa na penati 3 zimekataliwa lakini hatujalalamika.

Nyie Fiston juzi kafunga kwa offside sisi hatujalalamika Leo mmeibukia kwenye goli ambalo sio offside ,timu inamademu na watu wengi hawajui mpira yani viongozi wamewajenga kulalamika tu.
 
Huo mpira huoni kwamba uko hewani, utajuaje wakati unapigwa mfungaji aliwahi kuchomoka,. Kurahisisha mambo jaribu kurudisha huo mpira ugande kabisa kwa jamaa alietoa assist, ndio utajua exactly eneo alilokuwa mfungaji
Sawa mkuu nakurudishia nyuma tena. hapa nakuwekea kipindi ambacho mpira unaenda kwa Morrison, angalia position ya Luis yupo wapi?
Screenshot_2021-03-10-22-12-30-075_com.miui.videoplayer.jpg
 
Ili kuweza kutambua kama ni offside au sio offside kwa picha hio sio msaada maana tunaangalia position ya mchezaji alipo na wakati mpira unapigwa lakini hio picha inaonyesha tayari mpira ushapigwa@my take weka video watu wachambue
 
Mashabiki wa yanga wanashida sehemu yan viongozi wamewajengea kulalamika tu,Leo simba goli moja limekataliwa na penati 3 zimekataliwa lakn hatujalalamika,nyie fiston juzi kafunga kwa offside sisi hatujalalamika Leo mmbeibukia kwenye goli ambalo sio offside ,timu inamademu na watu wengi hawajui mpira yan viongozi wamewajenga kulalamika tu
Hatuimbi taarabu hapa kama hujui sheria kaa pembeni hapa tunazungumzia sheria ya offside. Ukisema sio offside unatakiwa useme kivipi sio offside. Ukisema ni offside unatakiwa pia utuambia kivipi. Wewe peke yako umekuja na taarabu hapa
 
Ili kuweza kutambua kama ni offside au sio offside kwa picha hio sio msaada maana tunaangalia position ya mchezaji alipo na wakati mpira unapigwa lakini hio picha inaonyesha tayari mpira ushapigwa@my take weka video watu wachambue
Kuna mtaalamu hapo kasema kama ulivyosema wewe na kisha katoa wazo kuwa nirudishe kipindi ambacho kabla mtoa assist haujapigwa mpira kwenda kwa Luis. Tuangalie Luis alikuwa wapi nikafanya hivyo. Na hapa ni kabla mpira haujamfikia Morrison Wala Luis mwenyewe. Je Luis yupo kwenye position ipi?
Screenshot_2021-03-10-22-12-30-075_com.miui.videoplayer.jpg
 

Attachments

  • SIMBA_1-1_TANZANIA_PRISONS:_Goli_la_Luis_Miquessone_likikifuta_Furaha_ya_Wajelajela,_Leo_10-03...mp4
    5.5 MB
Position ya mpiira unaonekana, position ya mtoa assist anaonekana na pia mfungaji anaonekana. Hata wale wanaooneshs video (tv stations) huwa kuna mahali watagandisha ili kuangalia position ya mfungaji wakati mpira unapigwa na mtoa assist
Position ya mpira hapo tayari ulishatoka kwa mtoa pasi, ni ngumu kuona offside maana haionyeshi mpira ulipotoka kwa mtoa pasi, mfungaji alikuwa wapi
 
Position ya mpira hapo tayari ulishatoka kwa mtoa pasi, ningumu kuona offside maana haionyeshi mpira ulipotoka kwa mtoa pasi, mfungaji alikuwa wapi
Na hii je? Hapa mpira ndio unaelekea kwa Morrison kabla ya kupiga kichwa kwenda kwa Luis
Screenshot_2021-03-10-22-12-30-075_com.miui.videoplayer.jpg
 
Back
Top Bottom