Wataalam wa sheria ya offside tunaomba ufafanuzi hapa

Wataalam wa sheria ya offside tunaomba ufafanuzi hapa

Utopolo ni tatizo kubwa linalohitaji msaada wa wataalamu wa magonjwa ya akili, mmeacha kujadili goli alilofunga Kisinda dhidi ya coastal baada ya kumsukuma beki na goli alilofunga utopolo dhidi ya Polisi ambalo mfungaji alikuwa offside mmeitana kujadili goli la Simba dhidi ya prison.
Kwa staili hii mtakufa kabla ya wakati wenu
 
Beki wawili wapo usawa wa Morison,uyu wa kushoto na yule wa kulia kwa mbaali akiangalia golini kwake.
BM kampa ubavu kipa,mpira umepigwa akiwa usawa wa mabeki.

Mpira umepigwa kutokea upande wa kulia ambapo BM anamuangalia mtoa assist.

Kumbukeni pia hali ya misimamo ya mabeki mshambiliaji pamoja na move ya mpira kwa pamoja vinatoa uhalisia wa off side.
Hapo hakuna off side.
 
Beki wawili wapo usawa wa Morison,uyu wa kushoto na yule wa kulia kwa mbaali akiangalia golini kwake.
BM kampa ubavu kipa,mpira umepigwa akiwa usawa wa mabeki.

Mpira umepigwa kutokea upande wa kulia ambapo BM anamuangalia mtoa atist.

Kumbukeni pia hali ya misimamo ya mabeki mshambiliaji pamoja na move ya mpira kwa pamoja vinatoa uhalisia wa off side.
Apo akuna off side.
Goli hakufunga Morrison bali kafunga Luis. Tuambie position aliyokwepo Luis wakati mpira unapigwa na kumkuta Luis
 
Utopolo ni tatizo kubwa linalohitaji msaada wa wataalqmu wa magonjwa ya akili, mmeacha kujadili goli alilofunga kisinda dhidi ya coastal baada ya kumsukuma beki nq goli alilofunga utopolo dhidi ya pilisi ambalo mfungaji alikuwa offside mmeitana kujadili goli la simba dhidi ya prison.
Kwa staili hii mtakufa kabla ya wakati wenu
Goli la Kisinda wadau wa mpira wamelizungumzia kwa nyakati/siku tukio ya hiyo mechi ilivyofanyika na kuonekana Kisinda alimsukuma mchezaji wa Coastal union. Leo tunazungumzia mechi ya hivi punde baina Simba na prisons hasa hasa goli la Luis
 
Goli la kisinda wadau wa mpira wamelizungumzia kwa nyakati/siku tukio ya hiyo mechi ilivyofanyika na kuonekana Kisinda alimsukuma mchezaji wa Coastal union. Leo tunazungumzia mechi ya hivi punde baina Simba na prisons hasa hasa goli la Luis
Zungumzia na goli la utopolo kwa polisi naona Kitenge kawaambukiza utopolo
 
Tuache ubishi wa kishamba.
Hiyo ni off side.
Mfungaji alikuwa ameotea, mshika kibendera akawa kimya.
Yote kwa yote hilo ni goli maana mwamuzi alilikubali.
 
Utopolo ni tatizo kubwa linalohitaji msaada wa wataalqmu wa magonjwa ya akili, mmeacha kujadili goli alilofunga kisinda dhidi ya coastal baada ya kumsukuma beki nq goli alilofunga utopolo dhidi ya pilisi ambalo mfungaji alikuwa offside mmeitana kujadili goli la simba dhidi ya prison.
Kwa staili hii mtakufa kabla ya wakati wenu
We ulichokifanya KINA tofauti na maelezo yako!?
 
Kwa wale wanaohitaji video
Asante Mimi binafsi sikuangalia mpira Ila kwa clip hii ya video nasema hii mfungaji ambaye Ni Kondeboy alikuwa offside. Japo ndiyo hivyo siku hizi offside za Simba Ni za ki VIP ambazo Ni sawa na goli. Refer Simba Vs JKT Tz same same.
 
Offside ya wazi kabisa simba wamebebewa mbeleko ya chuma hapo.
Tatzo lako wewe na mleta thread hampo fair kwenye uchambuzi kwa sababu tukio la kuongelea offside ilibidi pia uchambue na goli la Mugalu lililodaiwa ni offside. Mm huwa naamini makosa mengi ya washika vibendera ni kutokuwa makini tu wala sio kubeba timu fulani
 
Clear offside
 
Attachments

  • Screenshot_20210310-211139_Instagram.jpg
    Screenshot_20210310-211139_Instagram.jpg
    49.6 KB · Views: 2
GOLI HALALI.
Sababu morrison hakuwa offside.na yeye ndo wa kwanza kuupiga mpira konde akamalizia.
Hata lile walilolikataa nalo ni goli halali.
 
Back
Top Bottom