Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Asante.Kitu cha msingi ni kujua basics za programming kwa upande wote wa app na website, halafu ndio uanze kujifunza kuunda android app au ios.
Kwenye website kuna platform kama wordpress kwa ajili blog ambayo mtu yoyote anaweza kuanza au forums mara nyingi wanatumia xenforo na pia yoyote anaweza kuwa na forum bila kujua programming, kiujumla language maarufu upande wa web PHP, Javascript, html kwa ajili UI
Kuna programming languages nyingi, kwa android app zinazotumika zaidi ni kotlin na Java na iphone ni swift zamani objective-c
Pia zipo platforms zinazounda app za android na ios kwa pamoja kama react native na flutter.
Udemy na youtube kuna kozi nyingi zinazofundisha programming na mobile na website development
Nadhani ni kichwa chako tu, yaani ni kwamba ukishelewa basics anza kuunda real life projects hapo ndio utajifunza mengi kadri unavyofanyaAsante.
Hii kozi ili kupata hata uelewa wa kawaida tu inaweza chukua muda mrefu sana au inategemeana zaidi na kichwa chako ?
Na ndio sababu ya kutaka kujifunza kuna kitu nahitaji kufanya ila uelewa wa mambo ndio kikwazo ila nikielewa nafikiri nitaweza kufanikisha.Nadhani ni kichwa chako tu, yaani ni kwamba ukishelewa basics anza kuunda real life projects hapo ndio utajifunza mengi kadri unavyofanya
mkuu mimi nataka nikasomee IT, kozi gani ina wigo mpana unayoweza kujiajiri na kuajiriwa ba yenye demand kubwa?Kitu cha msingi ni kujua basics za programming kwa upande wote wa app na website, halafu ndio uanze kujifunza kuunda android app au ios.
Kwenye website kuna platform kama wordpress kwa ajili blog ambayo mtu yoyote anaweza kuanza au forums mara nyingi wanatumia xenforo na pia yoyote anaweza kuwa na forum bila kujua programming, kiujumla language maarufu upande wa web PHP, Javascript, html kwa ajili UI
Kuna programming languages nyingi, kwa android app zinazotumika zaidi ni kotlin na Java na iphone ni swift zamani objective-c
Pia zipo platforms zinazounda app za android na ios kwa pamoja kama react native na flutter.
Udemy na youtube kuna kozi nyingi zinazofundisha programming na mobile na website development
Asante.Siku hizi Web na Apps development imerahisishwa na cross platform frameworks. Jifunze basic programming na vitu kama API, halafu jifunze Flutter.... you can make any app for majority ya plaforms
Mkuu nimepita kwenye huu uzi na madini uliyotoa kwa mdau yamenifanya nikutafute.Kitu cha msingi ni kujua basics za programming kwa upande wote wa app na website, halafu ndio uanze kujifunza kuunda android app au ios.
Kwenye website kuna platform kama wordpress kwa ajili blog ambayo mtu yoyote anaweza kuanza au forums mara nyingi wanatumia xenforo na pia yoyote anaweza kuwa na forum bila kujua programming, kiujumla language maarufu upande wa web PHP, Javascript, html kwa ajili UI
Kuna programming languages nyingi, kwa android app zinazotumika zaidi ni kotlin na Java na iphone ni swift zamani objective-c
Pia zipo platforms zinazounda app za android na ios kwa pamoja kama react native na flutter.
Udemy na youtube kuna kozi nyingi zinazofundisha programming na mobile na website development
VariablesMkuu nimepita kwenye huu uzi na madini uliyotoa kwa mdau yamenifanya nikutafute.
Mimi ni zero kabisa kwenye hays mambo lakini ninataka kutengeneza android app. Basics za program kwa mfano za kotlin ni zipi nizipitie ili niwe vizuri kusoms kotlin. Nategemea kusoma kupitia youtube na vitabu.
Shukrani MkuuVariables
Arithmetic operations
Conditional statements
Loops
Data structure na algorithms
Hizi ndio basics mengine yatafuata