Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
E-Edge,H-HSDPA,3G-3rd Generation,4G-4th generation.Tofauti halo Ni SpeedNimekuwa nikiona hizi alama zikijitokeza mara kwa mara kwa mpishano kwenye simu yangu ila sijajua zina maana gani.
Na je zinavyobadilika haziathiri ubora wa huduma kwa thamani ya fedha niliyolipa?
Wajuzi tieni neno kidogo hapa.
Network ya 2G kuna G (GPRS) na E (EDGE) E ni more advanced na inaspeed kubwa kuliko GNimekuwa nikiona hizi alama zikijitokeza mara kwa mara kwa mpishano kwenye simu yangu ila sijajua zina maana gani.
Na je zinavyobadilika haziathiri ubora wa huduma kwa thamani ya fedha niliyolipa?
Wajuzi tieni neno kidogo hapa.
👍
Umesahau UMTS, WCDMA, TDMA, CDMA/CDMA2000.Nimekuwa nikiona hizi alama zikijitokeza mara kwa mara kwa mpishano kwenye simu yangu ila sijajua zina maana gani.
Na je zinavyobadilika haziathiri ubora wa huduma kwa thamani ya fedha niliyolipa?
Wajuzi tieni neno kidogo hapa.