Wataalam wa Uchumi (Foreign Exchange Rates) nitashukuru nikipata Elimu yenu kubwa ya Kina juu ya hili Swali langu Kwenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Ni kwanini ukitaka kutuma Pesa (kwa kuibadilisha moja kwa moja katika Mitandao ya Simu) mida ya Mchana kwenda Alasiri Exchange Rate inakuwa ni nzuri sana tofauti na nyakati za Asubuhi au Jioni au Usiku? Kuna Siri gani hasa nyakati za Mchana na Alasiri Kiuchumi?

Asanteni.
 
Currency ni kama product/servic inapanda na kushuka kotokana na production.. Kuna sababu nyingi.
Supply/demand/ export/import etc..
 
Back
Top Bottom