Wataalamu huu mjengo unaweza cost shilingi ngapi?

1-Matofali 2,400Γ—1,000=2,400,000
2-Cement 300Γ—20,000=600,000
3-Nondo 12mm 32Γ—26,000=832,000
4-Mchanga trip 18Γ—70,000=1,260,000
5-Mawe trip 12Γ—60,000=720,000
6-Kokoto trip 7Γ—180,000=1,260,000
...... nitarudi kuendelea nimechoka
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ MI nimeangalia mawe trip 12 nikawaza huyu jomba anataka Kujenga mnara au Nyumba ya mawe completely..
Kwa hiyo picha na muonekano wa faundation, hapo inaonekana itakua walau 0.8-1mt from above the ground.
Na kumbuka hapo tayari atakua ametengeneza shimo kubwa ndani nyumba nzima, then atalazimika kujaza moram na kuishindilia kisha ata tandanza mawe nyumba nzima kabla ya mwaga jamvi.
 
Syo lazma hapo ataweka kwaru kwaru kama nch 3/2 alafu atakuja kumwaga zege nch 7 akishamaliza wata laza tofali lain kama 4 then atafunga mkanda wa nch 4 kfutacho nkupandsha ukuta
 
Kama kiwanja tayari kipo ,gharama haziwezi kupungua 30M na haziwezi kuzidi sana 40M
Wastani kati ya 30M-40M
wastani ni 35M nyumba peke yake
bila kuweka uzio .
ukiweka na gharama za uzio fence ni kama milion 7/8 tegemea na ukubwa wa eneo na finishing yako designing

jumla inakuja 42M-45 M pamoja na fensi

Gharama zinaweza kuzidi kutegemea na
1)usimamizi wa mafundi ,usipopigwa na mafundi(uaminifu wa mafundi)
2)mkoa sehemu eneo unakojengea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…