Wataalamu huu mjengo unaweza cost shilingi ngapi?

Wataalamu huu mjengo unaweza cost shilingi ngapi?

Milioni 20.
Ila kama maji siyo ya DAWASA basi milioni karibu 30.
 
Nyumba ni nzuri
dosari ni mbili tu
  1. huo muezeko umepitwa na wakati
  2. nyumba zinamilikiwa na vyama pacha vya siasa
ni kweli,japo kila mtu ana chaguo lake.
Ila kiukweli muonekano wa nyumba sio mzuri kwa kipindi hiki,ulivuma miaka ya nyuma,ukikuwa unaitwa msumbiji sijui mgongo wa tembo kitu kama hicho
Ila kwa sasa kuliko utumie pesa nyingi hivyo kama milioni zako 30M/40M ,nashauri upate ramani nyingine yenye muonekano mzuri ili thamani ya pesa utakayoitumia hapo iendane na muonekano mzuri.
N:B
Kwenye ujenzi muonekano mzuri una nafasi
kwa sababu unaweza kutumia gharama kubwa ya ujenzi na bado nyumba isiwe na muonekano mzuri.
 
1-Matofali 2,400×1,000=2,400,000
2-Cement 300×20,000=600,000
3-Nondo 12mm 32×26,000=832,000
4-Mchanga trip 18×70,000=1,260,000
5-Mawe trip 12×60,000=720,000
6-Kokoto trip 7×180,000=1,260,000
...... nitarudi kuendelea nimechoka
Kwa kuwa umeahidi kurudi, ukirudi tu yaangalie mahesabu yako kama yako sawa.
 
Nyumba ni nzuri
dosari ni mbili tu
  1. huo muezeko umepitwa na wakati
  2. nyumba zinamilikiwa na vyama pacha vya siasa
Nyumba zinapitwa na wakati kwa kutofanyiwa update, ila ukiijali nyumba Kila baada ya miaka 5 unaweka mazingira vizuri uwezi kusema lugha ya imepitwa na wakati
 
Milioni 35
Hii nilitamani nimchambulie one time, lakini shida vijana wajuaji alafu tunamsaidia maswali aliyo uliza then anakubishia tena....
Skuihiyo nilikua na moyo mzuri, ningemchambulia hadi rangi, wayaring, wota lains, grills, aluminiums, switchers, chembers, water valves, sink, tiles and finishing
 
Vijana ujuaji umewajaa hadi wanaharibu
 
Back
Top Bottom