kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Dawa inayoweza kukusaidia ni kurudi utotoni
mnakuwa washezi kutokana na ushenzi wenu
mnakuwa washezi kutokana na ushenzi wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia watu WA this country ni very Rudy and stupid. Wao wanachojua ni ukiumwa inabid unywe dawa then after 3 days uwe umepona...First line Fluoroquinolones
Second line Tetracyclines
Third line Macrolides
Mim nimetumia 1st na 2nd line Hali iko poa, kama Hali ikiwa mbaya utapewa 3rd line
Ila dawa izo Fluoroquinolones zinazngua Sana after 3 months dosage.
Kamuone Urologists Specialist usipoteze muda mrefu. That's all I can say, mim nimepona now baada ya matibabu with right antibiotics for 6 monthsSorry chief ñatatizo ķama ilo naomba Namba yako unipe ushauri
Mwanamke Hana prostate, isipokua kama bacteria wataspread kwenywe mfumo wake WA uzazi atapata PID ambayo nayo treatment zake zinachukua muda..Na huyo dem anazidi kuambukiza au umemtibia ?
Heri tu nisifanye
Tufanye tu dadaakeNa huyo dem anazidi kuambukiza au umemtibia ?
Heri tu nisifanye
Kwene update zako umesahau kutuambia umepona au hujaponaHabari za Harakat za Maisha Wana forum.
Mimi ni kijana WA Miaka 32
3 months ago nimekutana na demu, nikapiga kawaida Tu bila mpira.....
Nikapata UTI nimekunywa flucamox mara 2, bila nafuu....
Nikaenda zahanati nimepewa Augmentin cluvamate nikapata nafuu kidogo tatizo bado linarud....
Nikaenda hospital agakhan kigamboni, wakanambia kwenywe vipimo mkojo uko Sawa Ila Kwa maumivu ya pumbu na uume pia kutoa semen yenye maji mepesi ya maziwa ni STD ambayo ni gono...
Nikapewa Ceftriaxone injection 1g
Doxycycline 2/siku 10
Metronidazole 400mg/siku 10
Nikapata nafuu kipindi natumia dawa siku ya kumi Tu maumivi makali Sana kwenywe uume na chini ya kitovu, mkojo hauumi nikikojoa.... Usaha mara moja sana Hadi mwishon mkojo nikojoa ndio naweza uona. Nikipekenywe urethra naona kama vidonda ivi au ulcers....
Napata maumivu makali Sana nikaa au nikilala...
Nimeenda kupima hiv imetoka -ve, Dr kanambia kama nilimnyonya mate na yeye alinyonya uume basi ndio nimepata fangus mdomoni... Sometimes nameza Kwa shida Sana....
Nikachoma pesa kwenda Agakhan Ocean road, nimefanaya vipimo vya uroflowmetry, urinalysis, na ultrasound... Mtaalamu WA urology akasema Nina prostatitis..
Nimepewa Lomefloxacin 400mg siku 14, Alfuzosin siku 14 na aceclofenac...
Problem ni Kua hizi dawa zinanizingua Sana.
Nikaenda hospital tena Jana kisiwani kufanya kipimo cha HIV na damu, HIV sina ni negtv, Ila kwenywe damu Dr kasema bado kuna STD... Pia fungus mdomoni...
Kaniandikia
Cefixime 400mg PO 1*1/5
Ceftriaxone 2g injection
Azitromycin 1g PO stat
Fluconazole 150mg/10 days Kwa ajili ya fungus
Leo nipo siku ya pili naendelea na dozi, (dawa za prostatitis nimeziacha Kwanza nimalize gono)
Swali
1. je nikawaida Kwa gono kutoka usaha WA maziwa mepesi mara moja moja na pia kwenywe semen Kua na kama maji maji ya maziwa.
2. Ni kawaida kuwa na maumivu makali ukikaa au kulala ukiwa na gono,
UPDATE: Ugonjwa niliokua diagnosed nao ni bacterial infection Kwa prostate. Hii imepelekea kupata chronic Bacterial Prostatitis sababu ya kuto kupata matibabu ya uhakika mapema.
This condition is treatable.
It takes time. About 4 to 12 weeks or more.
Vipimo kama culture, urinalysis au swab mara nyingi havioneshi kitu, uhakika ni kufanya Trans Rectal Ultrasound.
Dawa zinazotibu Kwa kimalifu ni fluoroquinolones na macrolides, pelvic exercises, stress management pamoja na supliments za vitamins mbalimbali.
IMPORTANT NOTICE: Kamuone Urologists Specialist, usipoteze muda.
Update 2: May 2024.
Nakua napata maswali mengi, to be clear;
Infections kwny prostate inasababishwa na bacterias kaadhaa, so treatment ita involved abx mbalimbali na haiwez kufanana Kwa kila MTU.
Kuna watu wanakua infected na;
Enterococcus sp
E coli
Klebsiella sp
Na atypical sp kama neisseria g na c tracomatis.
So treatment; ya Acute Bacterial Prostatitis ni ya kulazwa hospital. Ina clear baada ya 4 weeks. Ila Cronic Bacterial Prostatitis hii changamot treatment zake ni outpatient Ila ni 1 to 8 months even longer.
Treatment imecost kiasi Gani mkuu Hadi kupona?Mwanamke Hana prostate, isipokua kama bacteria wataspread kwenywe mfumo wake WA uzazi atapata PID ambayo nayo treatment zake zinachukua muda..
Na Kwa some Urologists Specialist wanasema tatizo ni reinfection na sio usugu WA ugonjwa.
Uyu dem yeye alipona baada ya just single Ceftriaxone injection na Doxycycline 10 days.
Cost kubwa ni vipimo, maana at first nilikuwa natibiwa kama ugonjwa sugu WA zinaa, so ili wataalam waconfirm Kua ni ugonjwa sugu wanahitaji vipimo vingi Sana Ku rule out ugonjwa WA zinaa ambao ni sugu..Treatment imecost kiasi Gani mkuu Hadi kupona?
Hujaapenda na pia hujawahishawishiwa na mwamba hadi ukavua condom katikati ya game. Pole sana mpendwa kwa habariUtapona tu,ila ukome kufanya ngono kipumbavu.Pia mpigie simu huyo mwanamke na yeye akajitibu na yeye awapigie wote aliotembea nao na wao wawapigie waliotembea nao.Mweh ni vicious cycle. Get well soon. Hivi inatokeaje mtu unafanya ngono zembe ?Kwangu mimi utajiri number moja ni afya njema.Kamwe siwezi kufanya ngono hovyo hovyo na watu wa hovyo.
Milioni mbili? Au nimeisoma vibayaCost kubwa ni vipimo, maana at first nilikuwa natibiwa kama ugonjwa sugu WA zinaa, so ili wataalam waconfirm Kua ni ugonjwa sugu wanahitaji vipimo vingi Sana Ku rule out ugonjwa WA zinaa ambao ni sugu..
So; nilipima;
Blood sugar 3times normal
Urinalysis 10times normal
Uroflowmetry once normal
Blood Picture twice normal
Abdominal X-ray once Normal
Semen Culture Once Normal
Abdominal ultrasound 6times
1st time--- Cystitis
2nd time--- Cystitis
3rd time (Agakhan) --Prostatitis
4th time (Agakhan Ocean road)-
-KUB normal still Prostatitis
5th time Prostatitis Mixed
Ecotecture
6th time (MDM mbezi) Trans
Rectal Ultrasound - Prostatitis
So ukichek hapo ni vipimo na consultant fees ndio gharama,
Nikagundulika sina ugonjwa sugu wowote wala bacteria sugu. Ila ni something kama syndrome ya inflammation, pain Kwa prostate.
Antibiotics expenv Sana ni Lomefloxacin tsh7k, moxi 10k per 5tab blister
Nimetumia close to tsh 2.0m
Bora kuacha kufanya. Au kuwa na mpenzi mmoja ambaye na yeye ana mpenzi mmoja ambaye ni wewe.
Utamjua tu.Wapo mbona.Unajuaje kama kwa 100% mwenza wako ana mpenzi mmoja tu ambaye ni wewe?
Usimuwekee dhamana kubwa kiasi hicho binadamu mwenzio.
Unaonekana kama mfanyabiashara wa vidonge kuliko mgonjwa.Cost kubwa ni vipimo, maana at first nilikuwa natibiwa kama ugonjwa sugu WA zinaa, so ili wataalam waconfirm Kua ni ugonjwa sugu wanahitaji vipimo vingi Sana Ku rule out ugonjwa WA zinaa ambao ni sugu..
So; nilipima;
Blood sugar 3times normal
Urinalysis 10times normal
Uroflowmetry once normal
Blood Picture twice normal
Abdominal X-ray once Normal
Semen Culture Once Normal
Abdominal ultrasound 6times
1st time--- Cystitis
2nd time--- Cystitis
3rd time (Agakhan) --Prostatitis
4th time (Agakhan Ocean road)-
-KUB normal still Prostatitis
5th time Prostatitis Mixed
Ecotecture
6th time (MDM mbezi) Trans
Rectal Ultrasound - Prostatitis
So ukichek hapo ni vipimo na consultant fees ndio gharama,
Nikagundulika sina ugonjwa sugu wowote wala bacteria sugu. Ila ni something kama syndrome ya inflammation, pain Kwa prostate.
Antibiotics expenv Sana ni Lomefloxacin tsh7k, moxi 10k per 5tab blister
Nimetumia close to tsh 2.0m
makosa kila mtu hufanya mkuuUnakuja hapa kutamba ati ulipitia mlango wa nyuma? We kufa tu broo[emoji706][emoji706]
Mkuu ww hizo semen ulikua unaziona wapi??[NOTICE] May 2024
Kumekua na upotoshaji Sana katika jamii kuhusu matibabu. Pia kuna dhana ya kwamba kuna zinaa sugu, wataalamu wanakanusha. Isipokua kuna shida kwenywe diagnosis za ugonjwa. Pia bacteria wanakua resistant na dawa ambazo zilkua awali zinatibu na SASA hazitibu tena, so badala ya kutumia first line antibiotics Dr anakuta inabid akupe combination antibiotics za last resort.]
[MY CASE POSTED ON Dec 2023.]
Habari za Harakat za Maisha Wana forum.
Mimi ni kijana WA Miaka 32
3 months ago nimekutana na demu, nikapiga kawaida Tu bila mpira.....
Nikapata UTI nimekunywa flucamox mara 2, bila nafuu....
Nikaenda zahanati nimepewa Augmentin cluvamate nikapata nafuu kidogo tatizo bado linarud....
Nikaenda hospital agakhan kigamboni, wakanambia kwenywe vipimo mkojo uko Sawa Ila Kwa maumivu ya pumbu na uume pia kutoa semen yenye maji mepesi ya maziwa ni STD ambayo ni gono...
Nikapewa Ceftriaxone injection 1g
Doxycycline 2/siku 10
Metronidazole 400mg/siku 10
Nikapata nafuu kipindi natumia dawa siku ya kumi Tu maumivi makali Sana kwenywe uume na chini ya kitovu, mkojo hauumi nikikojoa.... Usaha mara moja sana Hadi mwishon mkojo nikojoa ndio naweza uona. Nikipekenywe urethra naona kama vidonda ivi au ulcers....
Napata maumivu makali Sana nikaa au nikilala...
Nimeenda kupima hiv imetoka -ve, Dr kanambia kama nilimnyonya mate na yeye alinyonya uume basi ndio nimepata fangus mdomoni... Sometimes nameza Kwa shida Sana....
Nikachoma pesa kwenda Agakhan Ocean road, nimefanaya vipimo vya uroflowmetry, urinalysis, na ultrasound... Mtaalamu WA urology akasema Nina prostatitis..
Nimepewa Lomefloxacin 400mg siku 14, Alfuzosin siku 14 na aceclofenac...
Problem ni Kua hizi dawa zinanizingua Sana.
Nikaenda hospital tena Jana kisiwani kufanya kipimo cha HIV na damu, HIV sina ni negtv, Ila kwenywe damu Dr kasema bado kuna STD... Pia fungus mdomoni...
Kaniandikia
Cefixime 400mg PO 1*1/5
Ceftriaxone 2g injection
Azitromycin 1g PO stat
Fluconazole 150mg/10 days Kwa ajili ya fungus
Leo nipo siku ya pili naendelea na dozi, (dawa za prostatitis nimeziacha Kwanza nimalize gono)
Swali
1. je nikawaida Kwa gono kutoka usaha WA maziwa mepesi mara moja moja na pia kwenywe semen Kua na kama maji maji ya maziwa.
2. Ni kawaida kuwa na maumivu makali ukikaa au kulala ukiwa na gono,
UPDATE; March 2024.
Ugonjwa niliokua diagnosed nao ni bacterial infection Kwa prostate. Hii imepelekea kupata chronic Bacterial Prostatitis sababu ya kuto kupata matibabu ya uhakika mapema.
This condition is treatable.
It takes time. About 4 to 12 weeks or more.
Vipimo kama culture, urinalysis au swab mara nyingi havioneshi kitu, uhakika ni kufanya Trans Rectal Ultrasound.
Dawa zinazotibu Kwa kimalifu ni fluoroquinolones na macrolides, pelvic exercises, stress management pamoja na supliments za vitamins mbalimbali.
IMPORTANT NOTICE: Kamuone Urologists Specialist, usipoteze muda.
Update 2: May 2024.
Nakua napata maswali mengi, to be clear;
Infections kwny prostate inasababishwa na bacterias kaadhaa, so treatment ita involved abx mbalimbali na haiwez kufanana Kwa kila MTU.
Kuna watu wanakua infected na;
Enterococcus sp
E coli
Klebsiella sp
Na atypical sp kama neisseria g na c tracomatis.
So treatment; ya Acute Bacterial Prostatitis ni ya kulazwa hospital. Ina clear baada ya 4 weeks. Ila Cronic Bacterial Prostatitis hii changamot treatment zake ni outpatient Ila ni 1 to 8 months even longer.
Update 3: Costs
Cost kubwa ni vipimo, maana at first nilikuwa natibiwa kama ugonjwa sugu WA zinaa, so ili wataalam waconfirm Kua ni ugonjwa sugu wanahitaji vipimo vingi Sana Ku rule out ugonjwa WA zinaa ambao ni sugu..
So; nilipima;
Blood sugar 3times normal
Urinalysis 10times normal
Uroflowmetry once normal
Blood Picture twice normal
Abdominal X-ray once Normal
Semen Culture Once Normal
Abdominal ultrasound 6times
*1st time--- Cystitis
*2nd time--- Cystitis
*3rd time (Agakhan) --Prostatitis
*4th time (Agakhan Ocean road)-
-KUB normal still Prostatitis
*5th time Prostatitis Mixed
Ecotecture
*6th time (MDM mbezi) Trans
Rectal Ultrasound - Prostatitis
*Semen PCR/Urine NAAT sikufanya, ni very expensive inafanyika pale Lancet Labs Morocco. (Pia my specialist hakurecomend).. hii Dr atajua ni bacteria Aina gani wapo kwenywe prostate.
*Gram Stain Kwa wale wenye usaha kabisa(mim sikufanya, sikua na usaha)
*Semen analysis (sikufanya pia).
*Culture ya urine haiwez onesha kitu, otherwise iwe ni baada ya prostate massage ndio itampa specialist clue flan ya iyo inflammation kwenywe prostate.(sikufanya pia)
General Practitioners seen 4
Urology Specialist seen 3
So ukichek hapo ni vipimo na consultant fees ndio gharama,
Nikagundulika sina ugonjwa sugu wowote wala bacteria sugu. Ila ni something kama syndrome ya inflammation, pain Kwa prostate.
Antibiotics expenv Sana ni Lomefloxacin tsh7k, moxifloxacin tsh10k per 5tabs blister
D-manose & Vitamin C tsh50k
Nimetumia close to tsh 2.0m
Tafadhal vijana wenzangu tumia condom kiufasaha, ukiona umepata shida kwenywe mfumo WA mkojo wai Kamuone specialist mapema. Matibabu ni gharama Sana, na Kwa wengin inakua inajirudia au inakuacha na ulemavu WA muda mrefu.