Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Dawa inayoweza kukusaidia ni kurudi utotoni

mnakuwa washezi kutokana na ushenzi wenu
 
First line Fluoroquinolones
Second line Tetracyclines
Third line Macrolides
Mim nimetumia 1st na 2nd line Hali iko poa, kama Hali ikiwa mbaya utapewa 3rd line
Ila dawa izo Fluoroquinolones zinazngua Sana after 3 months dosage.
Narudia watu WA this country ni very Rudy and stupid. Wao wanachojua ni ukiumwa inabid unywe dawa then after 3 days uwe umepona...
Ikitokea hujapona basi wataanza kuamini ushirikina na msemo huu niliokutana nao kitaa "zinaa sugu" ambayo watakwambia haitiibiki.
Chakushangaza Zaid hata baadhi ya wataalamu kwenywe iz hospital za government wataendelea kukupiga powersef hata 20 bila kujua.
Infection ikiwa iko kwenywe prostate hakuna dawa ya kutibu Kwa muda mfupi...
CDC Wana recommend 4 weeks to 12 weeks.. na it's after you have been diagnosed with either Acute Bacterial Prostatitis au Cronic Bacterial Prostatitis.

Kuhusu wanaouliza dawa;
Mcheki Urologists WA hospital inayojitambua maana ukienda hosp zetu izi utapewa abx mbalimbali ambazo hazina uhusiono na ugonjwa.

Urologists akiconfirm uko na Prostatitis Utapewa;
1st line Fluoroquinolones
2nd line Tetracyclines
3rd line Macrolides

Mimi nimepona after 2nd line.
Zipo 4th mpaka Ila I don't think kama utafika uko, cha msingi ni duration ya treatment usifate watu wenye vichwa visoda humu jf.. Treatment can range from 1 months to 8 months with low dose suppressive abx Kwa kila relapse ya infection.
 
Sorry chief ñatatizo ķama ilo naomba Namba yako unipe ushauri
Kamuone Urologists Specialist usipoteze muda mrefu. That's all I can say, mim nimepona now baada ya matibabu with right antibiotics for 6 months
 
Na huyo dem anazidi kuambukiza au umemtibia ?
Heri tu nisifanye
 
Na huyo dem anazidi kuambukiza au umemtibia ?
Heri tu nisifanye
Mwanamke Hana prostate, isipokua kama bacteria wataspread kwenywe mfumo wake WA uzazi atapata PID ambayo nayo treatment zake zinachukua muda..
Na Kwa some Urologists Specialist wanasema tatizo ni reinfection na sio usugu WA ugonjwa.

Uyu dem yeye alipona baada ya just single Ceftriaxone injection na Doxycycline 10 days.
 
Kwene update zako umesahau kutuambia umepona au hujapona
 
Treatment imecost kiasi Gani mkuu Hadi kupona?
 
Treatment imecost kiasi Gani mkuu Hadi kupona?
Cost kubwa ni vipimo, maana at first nilikuwa natibiwa kama ugonjwa sugu WA zinaa, so ili wataalam waconfirm Kua ni ugonjwa sugu wanahitaji vipimo vingi Sana Ku rule out ugonjwa WA zinaa ambao ni sugu..
So; nilipima;
Blood sugar 3times normal
Urinalysis 10times normal
Uroflowmetry once normal
Blood Picture twice normal
Abdominal X-ray once Normal
Semen Culture Once Normal
Abdominal ultrasound 6times
1st time--- Cystitis
2nd time--- Cystitis
3rd time (Agakhan) --Prostatitis
4th time (Agakhan Ocean road)-
-KUB normal still Prostatitis
5th time Prostatitis Mixed
Ecotecture
6th time (MDM mbezi) Trans
Rectal Ultrasound - Prostatitis

So ukichek hapo ni vipimo na consultant fees ndio gharama,
Nikagundulika sina ugonjwa sugu wowote wala bacteria sugu. Ila ni something kama syndrome ya inflammation, pain Kwa prostate.
Antibiotics expenv Sana ni Lomefloxacin tsh7k, moxi 10k per 5tab blister
Nimetumia close to tsh 2.0m
 
Duuuh. Mtu anaumwa hadi akiwekwa duka la dawa anauza dawa kabisa. Hivi dalili za UTI zipoje. Maana huu ugonjwa nausikua tu
 
H
Hujaapenda na pia hujawahishawishiwa na mwamba hadi ukavua condom katikati ya game. Pole sana mpendwa kwa habari
 
Milioni mbili? Au nimeisoma vibaya
 
Unajuaje kama kwa 100% mwenza wako ana mpenzi mmoja tu ambaye ni wewe?
Usimuwekee dhamana kubwa kiasi hicho binadamu mwenzio.
Bora kuacha kufanya. Au kuwa na mpenzi mmoja ambaye na yeye ana mpenzi mmoja ambaye ni wewe.
 
Unaonekana kama mfanyabiashara wa vidonge kuliko mgonjwa.

Hadi vipimo umekariri na kuvinakili heheheheeee... Mgonjwa kawa mgonjwa..

Haukupima corona ya tezi dume?

Cc DR Mambo Jambo
 
Mkuu ww hizo semen ulikua unaziona wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…