Wataalamu naomba unisaidie hapa.

Wataalamu naomba unisaidie hapa.

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wataalam, nisaidieni hapa namna ya kuset premium message,, maana naona nakosaga hivi vihela vya vocha.. Hizi message zinaingiaga kwenye Simu yangu mara kwa mara
 
Attachments

  • Screenshot_20240518-163852_1.jpg
    Screenshot_20240518-163852_1.jpg
    80 KB · Views: 3
Hao matapeli, kila mtu wampatie 300Tsh kisa anajibu swali?
Ukiitwa kwenye fursa jua wewe ndiye fursa
Jibu kwenda hiyo namba halafu ukiwa unakatwa 50 au 100 kwenye kila vocha utakayokua unaingiza uje kufungua thread ulalamike..!
 
Sio utapeli ni kweli wanakupa hio 300 bila masharti yoyote wala makato

Back
Top Bottom