Wataalamu niliowahi kuwasikia Tanzania

Prof muongo hana mpinzani katika kada take
Kwa nchi yetu ni ngumu sana wananchi kuelewa kwanini J.K alimleta haraka kutokana na umuhimu wa skills zake.

Wengi wetu atuoni umakini wa sheria za PSA zilizopitishwa kwa hati ya dharura kwenye majadiliano ya mbele kwenye vitalu vya gas na madini ili nchi ifaifidike.

Alipoingia Muhongo tayari kulikuwa na MoU za β€˜oil and gas contracts’ ambazo protected through contracts uwezi badili kwa sheria mpya alizoweka. Ila sasa shida maana kuna wapotoshaji wengi Tanzania kuliko facts zaidi.

Hata kwenye na kuwaeleza ukweli watanzania uwezo wetu ni kuwekeza kwenye viwanda vya juice tu, alionekana hadui.
 
SAWA KABISA.

KAMA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.

Huyo ndio mtaalamu pekee niliyemshuhudia katika hii nchi toka kuumbwa kwa ulimwengu.
Ndiye Rais muovu, muuaji na muongo niliyewahi mshuhudia mimi mwenyewe na siyo kuambiwa
 
Angalau aliweza kuthubutu na kuisimamiq hii nchi bila kulalamika,alikua anatoa mamuzi na anayasimamia

Mapungufu mengine ya kibinadamu katika utekelezaji wa mamuzi huo ni ubinadamu tu. Lakini alijitahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa muuaji wa wananchi wako basi hufai na unatakiwa na wewe ufe, ndiyo maana na yeye Mungu akamuua kwani lilikuwa janga kwa taifa
 
Kuna tofauti kati ya Kuongea {Maneno,maongezi}, vitendo,baadhi ya watu wana kipawa cha Elimu ya juu+kuongea,na kuna watu wana kipawa cha Elimu ya kawaida+vitendo,hao ulio waona wanaongea hujakuta wakitenda hivyo vitendo,pia sidhani kama umeweza kuwasikiliza watu wote wenye huo ujuzi.
 
Hivi ndio elimu inavyopimwa huko juu.

Kuelewa theories ni standard kwa kila muhitimu.

Kinachomtofautisha muhitimu mmoja na mwingine ni uwezo wao wa ku apply theories kwa mazingira sahihi na kuja na suluhisho lenye tija.

Sasa baada ya shule wewe kama msomi unaweza kuwa na majibu kutokana na kuyasoma mazingira ila serikali isiwe tayari kuyatekeleza; au ukatoa mawazo yako mchanguzi huru na serikali isijali.

Hata bila ya serikali kuwasikiliza hoja za hao watu wajuu; kuna watu wenye ufahamu wa hizo sector wanaweza pia pima hoja zao kwa kudadavua how they got into those conclusions na kuamua ku support au kupinga.

Ndio msingi niliotumia kuwaita niliowaita wataalamu hao niliowataja.
 
Hata yeye hakutumia hiyo taaluma ukemia kwa kufanya lolote. Akajiingiza kwenye siasa ambako nako hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujimwambafai.
Utaalaam wake aliousomea ni upi, umeisaidia vipi Tanzania au dunia na kwa lipi?
Alizuia MACHANJO YA CORONA.
 
Ila mi najua mtu akiwa na taaluma then akaitumia katika mazingira ya kuchanganya na siasa basi naona kama anaenda kinyume ...Sababu siasi imekaa uongo uongo hayo mambo ya siasa waachiwe watu wa sheria tu
 
Umetisha sana umeongea next level kabisa πŸ™πŸ™πŸ™πŸ’―
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…