Wataalamu nipeni elimu ni kivipi sindano inafanya kazi kwa maiti?

Wataalamu nipeni elimu ni kivipi sindano inafanya kazi kwa maiti?

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
3,118
Reaction score
4,238
Huwa najiuliza sipati majibu sasa leo naamua kulileta humu huenda mkanielewesha...

Tunasikia mara nyingi kuwa maiti zinachomwa sindano ili zisiharibike hasa zile zinazocheleweshwa kuzikwa au nyingine zinachomwa sindano ili kuzisambaratisha.

Sasa swali langu ni kwamba hiyo sindano inaenea mwilini mwa maiti kwa njia gani mpaka ikafanye kazi?
 
95506.jpg
 
Inaua bacteria wanaosababisha mwili kuoza na kukausha protein ya mwili .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom