Point of No Return 19
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 203
- 472
Kutopata mkojo ni hatua ya mwisho ya figo kufeli (End stage kidney disease) inaweza kuwa ni ghafla (acute) au ikatokea taratibu (chronic) ambapo mkojo huanza kupungua taratibu kabla ya kukata kabsaKukosa mkojo ni hatari sana ni kiashiria cha figo kufeli.
Kutopata mkojo ni hatua ya mwisho ya figo kufeli (End stage kidney disease) inaweza kuwa ni ghafla (acute) au ikatokea taratibu (chronic) ambapo mkojo huanza kupungua taratibu kabla ya kukata kabsa
Tutunze figo zetu Kwa kunywa maji ya kutosha, kula vizuri,kutotumia madawa bila ushauri wa daktari, kuhakikisha presha na sukari zipo vzuri, kuepuka maambukizi njia ya mkojo (UTIs) na mambo mengine kama hayoooo
Oooh Ahsante maana tukasema au uchawiKutopata mkojo ni hatua ya mwisho ya figo kufeli (End stage kidney disease) inaweza kuwa ni ghafla (acute) au ikatokea taratibu (chronic) ambapo mkojo huanza kupungua taratibu kabla ya kukata kabsa
Tutunze figo zetu Kwa kunywa maji ya kutosha, kula vizuri,kutotumia madawa bila ushauri wa daktari, kuhakikisha presha na sukari zipo vzuri, kuepuka maambukizi njia ya mkojo (UTIs) na mambo mengine kama hayo
Uko sawa kabisa.Kuna changamoto kubwa kwa watu wengi kutaka kutumia dawa za mitishamba bila kupima kwanza ili wajue wanasumbuliwa na tatizo lipi la msingi.Matokeo yake ni kuzidi kujiongezea mzigo ambao pengine haukutakiwa kabisa.Niliwahi kupeleka sample ya dawa kwa mkemia kwa ajili ya uthibitisho,lakini cha ajabu ilikutwa na viambata vingi visivyofaa pamoja na kwamba ni mti asili.Watu wengi wanatumia mitishamba makapi ambayo haina chochote ndani yake kulingana na namna ilivyovunwa na kuandaliwa. Kwa hiyo elimu ni mhimu sana,siyo kila mahali unaweza ukapata dawa asili nzuri!Mkuu...Imani za kishirikina ni janga
Assume mgonjwakama huyo anapelekwa Kwa mtaalamu/watu wa madawa ya asili na anaenda kupatiwa madawa ya mitishamba ambayo ni sumu tena Kwa figo
Yaan figo tayar Ina shida halafu inaongezewa sumu nyingine tena, kinachofuata ni kuiua Moja kwa Moja
Ushauri: ukipitia kitu au changamoto ambayo huielewi, ni vzuri kwenda hospital kufanya vipimo kwanza. Ukishajua Sasa hapa nauma Nini, hata ukirud kutumia dawa za mitishamba unakua unafahamu unatibu nn
Wiki tatu zilizpita ndugu yangu alikuwa kwenye hii changamoto,alikuwa hapati choo na mkojo kwa muda mrefu,na wakati mwingine tumbo linaonekana kujaa na miguu kuvimba.Kutopata mkojo ni hatua ya mwisho ya figo kufeli (End stage kidney disease) inaweza kuwa ni ghafla (acute) au ikatokea taratibu (chronic) ambapo mkojo huanza kupungua taratibu kabla ya kukata kabsa
Tutunze figo zetu Kwa kunywa maji ya kutosha, kula vizuri,kutotumia madawa bila ushauri wa daktari, kuhakikisha presha na sukari zipo vzuri, kuepuka maambukizi njia ya mkojo (UTIs) na mambo mengine kama hayo