Hakuna aliyeomba ARV waache kuleta.Mfumo upi mnao nyie, ikiwa hata panadol, ARV mnategemea hao hao, chanjo zote hata za homa ya njano mnawategemea, hizo pumba za kunywa maji yaliyotiwa limau eti ndio dawa dhidi ya corona zimefanya muonekane kituko cha dunia. Kwa sasa nyie ndio mnaongoza kwa kupoteza viongozi duniani, halafu mnalalamika eti sijui akina ndugu wa wapi hawaji kwenye misiba yenu...pitia hii link uone mnachojifanyia Jukwaa la Siasa Sema kwa kujitia upofu hautaona chochote.
Kunyaland mnaomba Sana kwa jina la covid19 uko hatupo.mko tayari kuhumiza uchumi ili wazungu wasaidie akili matope ya kibera.
Kagame alijaribu kushawishi hayati JPM akimshawishi tuondoe majeshi akaambiwa Congo muhimu kuliko Rwanda amenuna.ndoto yake ya kurejesha M23 ikafa.
POLE JIRANI Al shabab wameleta maafa Tena.