Wataalamu wa afya wanahofia kuwa wagonjwa wengi wa Corona wanafariki wakiwa nyumbani bila kujua wanaugua

Mfumo upi mnao nyie, ikiwa hata panadol, ARV mnategemea hao hao, chanjo zote hata za homa ya njano mnawategemea, hizo pumba za kunywa maji yaliyotiwa limau eti ndio dawa dhidi ya corona zimefanya muonekane kituko cha dunia. Kwa sasa nyie ndio mnaongoza kwa kupoteza viongozi duniani, halafu mnalalamika eti sijui akina ndugu wa wapi hawaji kwenye misiba yenu...pitia hii link uone mnachojifanyia Jukwaa la Siasa Sema kwa kujitia upofu hautaona chochote.
Hakuna aliyeomba ARV waache kuleta.
Kunyaland mnaomba Sana kwa jina la covid19 uko hatupo.mko tayari kuhumiza uchumi ili wazungu wasaidie akili matope ya kibera.
Kagame alijaribu kushawishi hayati JPM akimshawishi tuondoe majeshi akaambiwa Congo muhimu kuliko Rwanda amenuna.ndoto yake ya kurejesha M23 ikafa.
POLE JIRANI Al shabab wameleta maafa Tena.
 
Umevimbiwa ubwabwa hapo na kubwatuka waache kuleta ARV..... hehehe umenichekesha sana wewe, mnasababisha Afrika tuonwe kituko aisei.
Siku mkiwa na kiwanda hata cha sindano ndio muanze jeuri ya kusema waache kuleta wanavyovileta.

Halafu wabongo kwa maigizo, mnazimia huku mking'ang'ania mifuko ya plastiki....jameni haya yote ili iweje.

2723011_IMG-20210324-WA0003.jpg
 
Hakuna serikali inayoshindwa kununua hizo dawa.watu wakifa kwa maelfu hasira zitaleta mabadiliko mabilioni yanayoibwa na viongozi kwa kushirikiana na wanaotoka ARVhapo so mnakufa kwa Corona wakati mmetengeneza mabilionea wa covid19.zikitoka takwimu Forbes za mabilionea mtafurahi na kuposti.

Alafu 90% ukimwi ngono zembe na wanapata dawa wanaendelea kusambaza.wazungu wakali tukitaka kuwatambua ilii jamii iwaepuke.
Huyo ni mkenya alikuja na Uhuru ameumia mguu kutokana na misongamano
 
Umevimbiwa ubwabwa hapo na kubwatuka waache kuleta ARV..... hehehe umenichekesha sana wewe, mnasababisha Afrika tuonwe kituko aisei.
Siku mkiwa na kiwanda hata cha sindano ndio muanze jeuri ya kusema waache kuleta wanavyovileta.

Halafu wabongo kwa maigizo, mnazimia huku mking'ang'ania mifuko ya plastiki....jameni haya yote ili iweje.

2723011_IMG-20210324-WA0003.jpg
Africa ni kituko si uongo unashindwaje kununua dawa kwa ajili ya raia wako..ukipewa msaada kutibu raia wako mnaiba kuongeza mabilionea.unaomba Tena mkopo akili matope amka kunyaland
 
Kwa hyo corona ya tanzania inaua viongozi tu?
Mfumo upi mnao nyie, ikiwa hata panadol, ARV mnategemea hao hao, chanjo zote hata za homa ya njano mnawategemea, hizo pumba za kunywa maji yaliyotiwa limau eti ndio dawa dhidi ya corona zimefanya muonekane kituko cha dunia. Kwa sasa nyie ndio mnaongoza kwa kupoteza viongozi duniani, halafu mnalalamika eti sijui akina ndugu wa wapi hawaji kwenye misiba yenu...pitia hii link uone mnachojifanyia Jukwaa la Siasa Sema kwa kujitia upofu hautaona chochote.
 
Umevimbiwa ubwabwa hapo na kubwatuka waache kuleta ARV..... hehehe umenichekesha sana wewe, mnasababisha Afrika tuonwe kituko aisei.
Siku mkiwa na kiwanda hata cha sindano ndio muanze jeuri ya kusema waache kuleta wanavyovileta.

Halafu wabongo kwa maigizo, mnazimia huku mking'ang'ania mifuko ya plastiki....jameni haya yote ili iweje.

2723011_IMG-20210324-WA0003.jpg
Jana nilikuwa naangalia BBC Swahili,wahudumu wengi wa afya wamekataa kuchoma hizo chanjo.
 
Mimi nasubiri kwa hamu sana itangazwe ipo sasa kwa wote, nitakesha kwenye foleni.
 
Kwa hyo corona ya tanzania inaua viongozi tu?

Mataifa ya mifumo ya kijamaa raia wake huendeshwa kwa kuswagwa, viongozi watatangazwa lakini makajamba mitaani wanaachwa wenyewe wajihangaikie.
 
Africa ni kituko si uongo unashindwaje kununua dawa kwa ajili ya raia wako..ukipewa msaada kutibu raia wako mnaiba kuongeza mabilionea.unaomba Tena mkopo akili matope amka kunyaland

Umeonaee.... nakumbuka kuna kipindi mabeberu walihoji kuhusu misaada yao ya corona imetumika vipi Tanzania, waziri Kabudi akajibu kwa misifa namna Tanzania iliikomboa Afrika, sijui Comoros, vita vya Kagera....hehehe
 
Jana nilikuwa naangalia BBC Swahili,wahudumu wengi wa afya wamekataa kuchoma hizo chanjo.
Oxford-AstraZeneca nchi nyingi za ulaya wamesimamisha.
Marekani pia wanafanya uchumguzi
Zinasababisha blood clot hasa kwenye ubongo .Kenya wanajidunga tu majaribio
 
Umevimbiwa ubwabwa hapo na kubwatuka waache kuleta ARV..... hehehe umenichekesha sana wewe, mnasababisha Afrika tuonwe kituko aisei.
Siku mkiwa na kiwanda hata cha sindano ndio muanze jeuri ya kusema waache kuleta wanavyovileta.

Halafu wabongo kwa maigizo, mnazimia huku mking'ang'ania mifuko ya plastiki....jameni haya yote ili iweje.

2723011_IMG-20210324-WA0003.jpg
Huoni huo mkono ulivyokaa hapo
 
Umeonaee.... nakumbuka kuna kipindi mabeberu walihoji kuhusu misaada yao ya corona imetumika vipi Tanzania, waziri Kabudi akajibu kwa misifa namna Tanzania iliikomboa Afrika, sijui Comoros, vita vya Kagera....hehehe
Kweli walioji hatukugawana zilinunua vifaa tiba.sio barakoa au sanitizer
Corona ipo Ila si tatizo kwa Africa ukifuata maelekezo ya madaktari.haitajiki kukopa
 
Wewe umemsikia nani.hapa tanzania kua watu wanakufa na corona hawatangazwi?
Mataifa ya mifumo ya kijamaa raia wake huendeshwa kwa kuswagwa, viongozi watatangazwa lakini makajamba mitaani wanaachwa wenyewe wajihangaikie.
 
Kweli walioji hatukugawana zilinunua vifaa tiba.sio barakoa au sanitizer
Corona ipo Ila si tatizo kwa Africa ukifuata maelekezo ya madaktari.haitajiki kukopa

Anayejua mlinunua vifaa tiba nani? Maana hela za watu hamkutolea taarifa vifaa gani hivyo mlinunua, mlisema corona imeisha kwa maombi. Na mlipofuatwa sana kwa namna mlivyotumia hela mkaanza kubwabwaja jinsi mlipigana Kagera na Afrika.
 
Wewe umemsikia nani.hapa tanzania kua watu wanakufa na corona hawatangazwi?

Kwenu huko kwa ujuha wenu mnaita changamoto la kupumua...yaani kituko. Sijawahi kuona ung'ang'anizi wa kihivi....
 
Yaah.kama watu wanaumwa nimonia kwanini waseme corona?.
Au unadhani changamoto za upumuaji ni corona tu?
Kwenu huko kwa ujuha wenu mnaita changamoto la kupumua...yaani kituko. Sijawahi kuona ung'ang'anizi wa kihivi....
 
Kwenu huko kwa ujuha wenu mnaita changamoto la kupumua...yaani kituko. Sijawahi kuona ung'ang'anizi wa kihivi....
Sasa wewe ni mara ya kwanza kuona changamoto za upumuaji!? Au ndio ulimbukeni.. tangu Corona Ije kila changamoto ya upumuaji ni Korona tu!?

Tuachane na mambo madogo madogo... Kwanini hivi virus vinakuja kwa matoleo!? Ukimwi tumekaa nao muda wote sijasikia ukimwi wa Nairobi, na Wa Dar ukitofautiana! Tena improvement ya kirusi hiki ni ya kasi mno.. as if Dunia inataka kututapika...

Huwa hujiulizi hilo swali!?
 
Back
Top Bottom