Wataalamu wa Android Masada tafadhali

Wataalamu wa Android Masada tafadhali

Dynamics

Senior Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
159
Reaction score
194
Habari wadau.

Kuna hii simu yangu Aina ya Samsung, nahitaji msaada namna ninaweza kuondoa hii option ya message nibakiwe na moja. Ninayohitaji kuondoa ni hiyo niliyoweka alama ya X

IMG_20241121_110121.jpg


Asante
 
Habari wadau.

Kuna hii simu yangu Aina ya Samsung, nahitaji msaada namna ninaweza kuondoa hii option ya message nibakiwe na moja. Ninayohitaji kuondoa ni hiyo niliyoweka alama ya XView attachment 3157596


Asante
nenda setting kweny default app kwa massage chagua iyo google massage...acahana na iyo hutaki kuitumia ni samsung massage...hapo utaitumia iyo inayotaka
 
nenda setting kweny default app kwa massage chagua iyo google massage...acahana na iyo hutaki kuitumia ni samsung massage...hapo utaitumia iyo inayotaka
Sawa mkuu. Lengo langu nilitaka nibakiwe na Google messaging app pekee yake kwenye homepage . Najaribu ku disable Samsung messaging naona inazingua
 
Huwezi ukaidisable, fanya hivi unistall hiyo app ambayo huitaki kwa kutumia ADB, sijui exact procedures kwa Samsung, ila search YouTube kitu kama hiki How to uninstall Samsung Bloatware using ADB, sharti uwe na PC lakini.
Duh kazi kumbe
 
huwezi kuondoa app iliyokuja na simu..ila unaweza kudisable isiweze kuonekana kwenye screen hiyo kuitoa kabisa built in app sio rahisi
 
Sawa mkuu. Lengo langu nilitaka nibakiwe na Google messaging app pekee yake kwenye homepage . Najaribu ku disable Samsung messaging naona inazingua
huwez disable app iliyokuja na siku mkuu,, kumbuka iyo ni samsung masage,ni app ya samsung na simu ni ya samsung, apo ni kudefault tu iyo google massage basi,, labda kama ungekua na simu aina za google pixel automatic google sms inakuja tayar iko simu.
 
Changamoto ni kwamba nikifuta message hazifutiki, Baada ya muda zinarejea tena
kama ni hivo nenda hapo kwenye sms kuna vidoti/vimstari vitatu ingia setting then angalia text message zinaseviwa wapi kuna sim card na phone hiyo yako utakuwa text message saved to phone ndomana ukifuta kule kwenye sms bila kuja kufuta na huku zinarudi.. sasa ww weka text message saved to sim card hapo hata ukifuta hazirudi na itasolve tatizo lako
 
Back
Top Bottom