Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Tusaidie uelewa mkuu
Katika dunia hii, ilishawahi kutokea kweli?Hiyo ni vita mura umetangaza.
Haijawahi kutokeaKatika dunia hii, ilishawahi kutokea kweli?
Mfano Rais Trump aende Iran, usalama wake utakuwaje? Unakumbuka Rais Bush aliporushiwa kiatu Iraq?Haiwezi kutokea, na haijawahi kutokea, hatakama nchi na nchi zipo kwenye vita na maraisi wakakutana kwa moja katiyao kwa mazungumzo jambo hilo haliwezi kutokea.
Mfano, amri ikitolewa, unahisi haitatekelezwa?Hakuna kitu cha namna hiyo
Ila inaweza ikatokea?Haijawahi kutokea
Kama aliekuwa rais wa Venezuela Nikolaus maduro angealikwa ikulu kwa ajili ya mazungumzo na rais wa marekan Donald trump na wakashindwa kukubaliana jambo unadhani ni nini kingetokea!?Haiwezi kutokea, na haijawahi kutokea, hatakama nchi na nchi zipo kwenye vita na maraisi wakakutana kwa moja katiyao kwa mazungumzo jambo hilo haliwezi kutokea.
Mbona imeshatokea hapahapa nchini!Ikitokea Rais mwenyeji kutofautiana kimazungumzo na Rais mgeni katika nchi yake, na Rais mwenyeji akaamua kutoa agizo kwa majeshi yake, yamkamate Rais mgeni kwa kuwa wametofautiana kimaongezi; je hiyo inawezekana kutokea?
Mfano Rais wa Marekani awe nchini China, halafu Rais wa China atoe agizo palepale kwenye mazungumzo, Rais wa Marekani akamatwe; Je hii inatekelezeka? Na kama inatekelezeka ni nini kitatokea.
Waziri mkuu wa Israel alipokuwa nchini Marekani, alithibitisha kuwa kama ICC au nchi mwanachama yeyote ingemkamata kutokana na madai yaliyopo, alikuwa tayari ameandaa kikosi maalumu kwa ajili ya kupambana nao.
Wataalamu wa diplomasia, na siasa za kiulimwengu tusaidieni majibu.
Hii inakuwa haina nguvu sana kutokana na muungano wa kikatiba, kwa sababu mmoja yuko juu ya mwingine kimamlaka. Mfano ungekuwa mzuri kama ingekuwa Tanzania vs Uganda vs kenya Vs Congo n.kMbona imeshatokea hapahapa nchini!
aliepata kuwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa Abdul Jumbe mwinyi alikamatwa na kuwekwa kizuizini baada ya kushindwa kukubaliana jambo na rais wa Tanzania wawakati huo mheshimiwa JK nyerere.