Nilipoteza 15M ndani ya wiki 😓Beti uliwe!, kwa pesa nilizowahi kupoteza huko kwenye betting sina hata hamu!, wakat ukifika utaacha tu.
Kaka toast walau kakipande ka historia yako vijana tupone au wazee tupone maana huu uraibu sasa hausababishi umasikini tu hata nguvu za kiume kwisha habari ya arabiBeti uliwe!, kwa pesa nilizowahi kupoteza huko kwenye betting sina hata hamu!, wakat ukifika utaacha tu.
nikitoa ushuhuda hapa itaonekana nawaonea wivu na kuharibu maana ya uzi!, kikubwa wacha kila mtu tabu na hasara vikizidi ataacha mwenyewe bila kushurutishwa na mtu kama ilivokuwa kwangu!, kikubwa jua tu hakuna pesa rahisi duniani ya kudownload isiyo na madhara, fanya kazi.Kaka toast walau kakipande ka historia yako vijana tupone au wazee tupone maana huu uraibu sasa hausababishi umasikini tu hata nguvu za kiume kwisha habari ya arabi
Sawa ,MD farmsnikitoa ushuhuda hapa itaonekana nawaonea wivu na kuharibu maana ya uzi!, kikubwa wacha kila mtu tabu na hasara vikizidi ataacha mwenyewe bila kushurutishwa na mtu kama ilivokuwa kwangu!, kikubwa jua tu hakuna pesa rahisi duniani ya kudownload isiyo na madhara, fanya kazi.