Haifai yaani hawatabiriki hawa kengeChampionship 🏆
Ni sisimizi wanaoangusha mibuyu.
Mkuu mi tu much aisee kwa hii rate yangu ya kubeti.... Adi nahisi muhindi ananiekea timu bandiaMkuu mwaka si umeanza juzi haujamaliza hata wiki mbili. Ambao hawajala tangu msimu uanze wasemaje
Cash out chap....Algérie win
Kwani wewe mkuu code zangu huwa unaziwekawekaje? Ama hizi hukuziona?.... tofauti na hiyo ya mwisho Ya live?Kuna codes za Mkamaria mmoja humu nimejaribu kuzi load.
Naanza tu kuandika stake ile naweka tu 1 naona payout inakuja milioni.
Nikastuka ikabidi nifute niweke 500.
NImeweka 500 naona inakuja Milioni 132 na hapo kuna mechi zipo suspended kwasababu zilishaanza kucheza. Ina maana ninge load wakati mechi hazijaanza huwenda payout ingekuja hadi Milioni 200
View attachment 3527929
Kweli mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba...mungu mwemaView attachment 3528126
Hongera mkuu 👏.mungu mwemaView attachment 3528126
weekend imeenda vizurHongera mkuu 👏.
Leo ni birthday yangu ngoja niweke 10k hapa huenda siku ikaenda poaOdds 21 hivi huu ni leo leo mechi 12 tu
5AFVTH
Kagua kwanza kisha fanya positive edit ..nilieleza positive edit ni nini kisha tua mzigo ...Leo ni birthday yangu ngoja niweke 10k hapa huenda siku ikaenda poa
Badala ya kutia 10k yote kwenye ule wa jwanza tia hata 2000 kwenye huu wa odds 10 kujaribu kulinda pesaLeo ni birthday yangu ngoja niweke 10k hapa huenda siku ikaenda poa